wakuu SalaaamNchi kama China kabla haijafikia ilipo leo makampuni makubwa ya kwanza yalichochea maendelo ilikuwa ni ya jeshi. BAE ya UK ambayo ni kampuni iliyoajiiri waingereza wengi ni kampuni ya Jeshi. Tunajua Majeshi ni one of the wing ya serikali Nini nachotaka kusema ?Ni kujidangaya kuwa tupata maendeleo kwa serikali kukaa pembeni eti kuwa kigezo cha biashatra huria na uchumi huria. Tunaweza tusiwe na uwezo wa kuwa na vmkuu tunaweza sana sema lazima tungoe ili gugu(CCM) ndipo tuwe na ardhi bora ya kulima hayo maendeleo yote .