Jmani ndiyo taaluma yao hiyo? Mbona tunakurupuka tu.Kwa hiyo jeshi wakikabidhiwa TPA au TRA umeambiwa huko kuna Rigwaride na kupiga mizinga.Tutoe mawazo yenye akili kdg siyo pumba
Kama nikibahatika kuonana na rais ushauri wangu wa kwanza kwake JWTZ alitumie katika kila nyanja kama ni Muhimbili basi uongozi utoke JWTZ kadhalika kwa TPA,TRA,CCPB,MASHIRIKA YA UMMA,BOT,TCRA,TANROAD, NK. Yaani hapo kuna faida kubwa sana kuliko kuendelea kuwatumia raia.
Mkuu kote huko unataka wakae wanajeshi then nchi italindwa na nani?
Wanajeshi wenyewe most of them ni form four hawana wanachokijua zaidi ya kupiga kwata😊😊😊
labda ni malaikahivi huko JWTZ ni safi sana?!
Naomba kumpa ushauri Rais Magufuli, kwa muda mrefu wafanyakazi wa Bandari wametuzingua sana, sasa ikibidi kabidhi Bandari kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania angalau kwa miaka 2-3 walete ufanisi na kukusanya kodi na ushuru inavyostahili.

Jeshini hakunaga ufisadi, hawanaga siasa ooh! Sijui nini mara ivi mara iv wao ni Offensive kwa kwenda mbele. Safi sana kama ingepewa JWTZ.
Naomba kumpa ushauri Rais Magufuli, kwa muda mrefu wafanyakazi wa Bandari wametuzingua sana, sasa ikibidi kabidhi Bandari kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania angalau kwa miaka 2-3 walete ufanisi na kukusanya kodi na ushuru inavyostahili.
katika taasisi zenye nidhamu na maadili JWTZ wanaongoza katika nchi hii
Kama nikibahatika kuonana na rais ushauri wangu wa kwanza kwake JWTZ alitumie katika kila nyanja kama ni Muhimbili basi uongozi utoke JWTZ kadhalika kwa TPA,TRA,CCPB,MASHIRIKA YA UMMA,BOT,TCRA,TANROAD, NK. Yaani hapo kuna faida kubwa sana kuliko kuendelea kuwatumia raia.
hivi huko JWTZ ni safi sana?!