Hujataka tu....wanaweza ila utaliwa hela bure...uambiwe iko arusha utoe nauli...
Baada siku 3 utaambiwa yuko dodoma utoe tena huo ndio ujinga sasa simu ya laki 3 unaitafuta kwa laki 2.5....ujinga bora utafute ingine.....wanatupiga deal
kisheria kuna kitu kinaitwa "right not to self incriminate" - Kila mtu ana haki hiyo ukiwemo wewe. sasa polisi waje wakukamate halafu wakuambie toa password ili tukuchunguze, hiyo umewahi kuisikia wapi humu duniani?