donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Sana mkuubonge la ngoma
Yaani haipingwi mkuuJux anajua sana.
The problem son ain't moving on, it's the ability to move on. Hakuna kitu inauma kama bado unampenda X wako halafu unaona anaenjoy tu life na mwana mwingineHuyu ange move on tu.
Yeah sahihi mkuuTitle ya hiyo nyimbo alitaka kutembea mule mule kwenye Ile nyimbo aliyoimba na Nyashinski ya Incase You Don't Know.
In maana mama 7 Hana furaha pale alipo?Vanessa bado haja move on
Kwenye mahusiano ukiona mwanamke ana mpost sana mwanaume kuliko mwanamke ujue kuna ex anakomolewa au kuna kitu hakipo sawa.
Ndo hvyo na mahusiano ya kumkomoa mtu siku zote hayadumu hapo lazima avumilie ili asionekane kivuruge.In maana mama 7 Hana furaha pale alipo?
Daaah, mambo ya mahusiano haya yana changamoto sana. Ndio maana wazungu unakuta mtu anahamisha mapenzi kwa mbwa au paka kwaajili ya royaltyNdo hvyo na mahusiano ya kumkomoa mtu siku zote hayadumu hapo lazima avumilie ili asionekane kivuruge.
Katika ubora wakeMnyamwezi Jux.
Si uandike tu kiswahili kama kiingereza hakipandi ndugu yangu?Jux my favorate artist of all the time...[emoji91][emoji91][emoji91]
Hahaaa...Si uandike tu kiswahili kama kiingereza hakipandi ndugu yangu?