Jux aachana na Vanesaa Mdee

Jux aachana na Vanesaa Mdee

Kwa umri wao ni lazima watengane iwe leo au kesho sidhani kama mlikua mnaamini watazeeka pamoja
 
Haha... sema huyo jamaa namjua anajua ngeli saana ndiyo maana sijaamini.

Hivi Vanessa alikuwa demu wake jux?
Mkuu hili swali ulikuwa unamaanisha kweli au ndo kama ben pol???
 
sasa kama wameachana ww inakuhusu nn??? mbn ulivooachana na mtu wako haukuwahi kusema hapa
 
Afadhari. Kwahiyo Vanessa sasa available au?
 
kuachana hakuna umri tena wazee ndio wanaongoza kwa kuachana mkuu hasa hasa waliopata mafao ya kustaafu ndio balaa

Kuna umri ni nadra sana kutengana chief tena hata watu watawashangaa ila vijana ni kawaida aiseeee ndio maana vijana wakidumu sana watu lazima wawapongeze.
 
James delicious atakuwa kafurahi, huwa anamtaka jux na alisema hadi ampate.....
 
Back
Top Bottom