Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Aseeeh hizi story zinanipitaga kushotoHa ha ha wanajuana wenyewe na mahaba yao ila nahis walikua washkaj so kumegana ile kisela
Aseeeh hizi story zinanipitaga kushotoHa ha ha wanajuana wenyewe na mahaba yao ila nahis walikua washkaj so kumegana ile kisela
Bado, naona anatafuta kick... alafu nimemshtukia anapitia kila coment ila anasubir sketi zikoment ndo ajibuHajaedit tu
tunaona sanaHaha... ila uzuri naona toka tumeanza kukoment hakuna mwanamke so jamaa awahi aedit kabla hawajaja
tunaona sana

kumbe mnapita kimya kimoyomoyo mnasonyaa Mungu is watching you hasa wewe.Aseeeh hizi story zinanipitaga kushoto
Hahaaahaah! The Ubuyulist.tunaona sana
Hutaki kujenga mzingaKula ukimbie wala hakuna shida
Siwezi kufuatilia... labda notable icons kama Jay z.. Dre.. maana hawa hata usipofuatilia utaziskia tu ila hawa wachanga hadi uwafollow au uwafutilieHamia celebrities mmu hakuna hz

Ni majangaHivi ni hit and run au EAT AND RUN?
Utatajwa katika list, ooh ooh oooh!Wacha nijitose kwa Vanessa Mdee kama Jux yeye asusa sie twala.![]()
Ndukiiiii![]()
![]()
![]()
Hutaki kujenga mzinga
Siwezi kufuatilia... labda notable icons kama Jay z.. Dre.. maana hawa hata usipofuatilia utaziskia tu ila hawa wachanga hadi uwafollow au uwafutilie
Utatajwa katika list, ooh ooh oooh!
mkuu mimi mtu wa ku hit and run a.k.a tapeli la papuchi. Mapenzi 0%

HahaHa ha ha mie ma star wangu ni mamong'ooo
kwa kitendo cha kuuliza, inaonekana unaakili sana. mwingine angeanza matusi.Hivi ni hit and run au EAT AND RUN?