Nashangaa usajili wa Juventus hivi karibuni hasa upande wa washambuliaji Anelka,Bertnder,Matri,Quagriela,Lorrien wengi sio wa kuchezea Juve cha msingi mna viungo na mabeki wafungaji
Juve hawanifurahishi.nataka striker wawili wa maana na viungo wawili na mabeki wawili wa pembeni wepesi kupanda na kushuka.pole mkuu Chomba lakini sifurahii sana maisha Turin mwaka huu.nahitaji Legendary Juventus irudi,kama ile iliyokuwa chini ya marehemu mzee Umberto Agnelli,luciano Moggi,marcelo lippi n.k.bado hatuna timu nzuri.tumejaza kwa quantity but very few Quality!pia nahitaji usajili wa kueleweka milan,inter,roma,napoli na lazio.bila hivyo ligi yetu inakufa!naomba niwe muwazi waungwana sifurahii maisha seria a mwaka huu.sijui kama hizi ni stress za UEFA ndio bado zinanisumbua au la!Chomba niacheni tu nipumzike,gap la uchumi kati ya seria a na ligi nyingine linaniumiza kichwa sana aisee!linaonekana wazi sana.huyu Marotta na sera za kusajili wachezaji walioexpire mikataba huyu ndo ananichanganya kabisa,ah!sina raha mwenzenu!
Lorriente mzigo ule. Pale auzwe Matri then aletwe striker mmoja kutoka ligi ya ujerumani. Lewandowsk vp, Mandzukic wenyewe tulimbwela akaenda Bayern, Vp Gotze, Van persie tulimbwela, Cavani vp tukikomaa si tunampata, Hata mario Gomez hajachuja kivile. Yani nikimkumbuka LUCIANO MOGGI MZEE WA MIPANGO NATAMANI SANA URUDI TENA VINOVO TORINO. Marota anazingua. Mm nasema ukweli Juve wasipo sajili milani inakuja kuchukua utawala tena mda si mrefu. 7bu milan wakifulia wanafulia kweli lakini wakijenga timu yao Ulaya nzima lazima ijambejambe. Juve tulijenga timu enzi za Moggi, mipango uwanjani mipango mfukoni. Forza juventus
nakubaliana nawe kabisa mkuu.cha ajabu juve ni ya 8 kwa utajiri duniani hivi sasa.milan ya 6 arsenal ya 4.lakini usajili wa hizi timu tatu nilizotaja ni utata mtupu.labda milan kidogo wakiamuaga wakati mwingine huwa wanasajili haswa(kama ballotelli).atletico,dortmund,napoli hawamo hata kumi bora,wanawezaje kumiliki watu kama falcao,lewandowski na cavani sisi tushindwe?nilipata habari kuwa kabla ya kwenda ureno,wakala wa james rodriguez aliwaimbisha sana juve wamchukue lakini Allesio Seco akachomoa.hivi hata scout wenye uwezo wa kuona wachezaji kama Cavani wakiwa bado hawajapanda bei hatuna?scout wetu ndo wanaishia kumuona Bendtner?kaazi kweli kweli mazee!