Na hivi lile nunda wanalolitegemea kuwafungia magoli halitakuwepo wasuburie mikwaju tu ya Vucinic na Matri
Hii ni 1 kati ya big mechi barani uropa kama c duniani kwa cku ya leo. Juventus Turin vs AC Milan!.hii c game ya kukosa kuangalia. Mkuu Gang Chomba unalolote la kuzungumzia huu mpambano? Natabiri Juventus watapata ushindi wa 2-0.