Juventus Special Thread

The Bianconeri came out on top in their last [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] meeting with @AS_Monaco_EN in the 2015 quarter-finals: 1-0 the aggregate score [HASHTAG]#ItsTime[/HASHTAG]
af44a6e2d19e2388e81cdfcdf134010b.jpg
 
Still ni tough one. Monaco wana forward line inayofunga magoli kweli kweli. Juve wao wanajivunia back line yao. Hii game ni 50/50. Kule upande wa pili nayo game ni ngumu kwa kweli. Ni 50/50 ingawa Madrid wao wanajivunia historia.
ni kweli
ila
hii ina afadhali, we will be comfortable playing with monaco kwa ule mpira wao, kuliko Atletico madrid, yaan wangetusumbua sana hasa kwa two legs.

i hope this year tutaenda final tena, lets hope so
 
Ok, thanks bas haji kumfunga aisee, ila ktk makipa dunian buffon namkubali sana, toka world cup 2006. Ila inaonesha alikuwa vzr sana toka akiwa parma, mpaka Juve wakatoa hela ndefu.,kwa enzi zile,
naskia juve ziliwatoka sana kwa kipindi hiko
but nadhan hazikuwatoka for nothing the guy has overpaid them kwa sasa
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom