Juventus Special Thread

Siwapendi lakini sikufurahia ule mpira mlio cheza kwa kweli mwaka hui mgumu sana kwenu

Hautupendi kwa sababu tu ya Messi anasumbua ulimwengu wa soka sio....

hapo kwenye black naona kama ka-viseversa flani ivi umepitishia=kutoipenda Blaugrana ni mojawapo ya kufurahia pale inapozidiwa ama kufungwa kabisa ndio point yako ama:D
 
Siwa pendi kwa kuwa nashabikia Madrid lakin pia kipindi hiki cha messi nawachukia
Enzi za Ronaldinho nilikuwa siwachukii nawakubali tu lakin si shabiki

Sasa napenda muendelee kuleta ushinda kwenye ligi na si mcheze kama mlivo cheza juz hata kama mna shindwa muwe mlikamia na nyie
 
Napoli wamepigavmpira mzuri sana,hawakua na bahti tu, yani hata 5 zingefika.

Cheki hapa:

SSC Napoli

1 -

1-
Sassuoli

Top stats
72% Ball possession 29%

12 Total shots 3

728 Accurate passes 223

88% Pass success 68%

14 Fouls 12

9 Corners 3

4 Offsides 5

Shots
6 Shots on target 1

6 Shots off target 2

2 Blocked shots 1

1 Shots woodwork 1

Shots detail
5 Shots inside box 3

14 Shots outside box 1
 
Siwa pendi kwa kuwa nashabikia Madrid lakin pia kipindi hiki cha messi nawachukia
Enzi za Ronaldinho nilikuwa siwachukii nawakubali tu lakin si shabiki

Sasa napenda muendelee kuleta ushinda kwenye ligi na si mcheze kama mlivo cheza juz hata kama mna shindwa muwe mlikamia na nyie

:D:D haya bana, ntaacha kukupa Li-LIKE chezea tu...
 
Leo tupo dimbani na sassuola usiku huu. Yaani mambo hayaendi kabisa. Zile middle table team eti kwa sasa ni bora kuliko sisi. Nimejiuliza sana maswali mengi kuhusu soka la italia. Wale makocha wa aina ya kina Lippi, Cappelo, Sacchi nk kwa italia ya sasa hawapo?

Nimejaribu kurudi nyuma na kupitia baadhi ya post za zamani za huu uzi, uzi ulikuwa upo vizuri sana aisee. Wadau kibao tu walikuwa washauelewa. Hata nguli ninayemkubali sana kwenye uchambuzi wa soka MosDef alikuwa mdau hapa. Salamander yule mfurukurwa wa real madrid naye alikuwa hapa. Kwa ujumla huu uzi tuufufue na kuundeleza.

Kuwe na update za kila siku zinazohusu club ya juventus na soka la italia kqa ujumla wake. Mapicha, rumours za usajili na kila kinachoendelea kule serie A.

Karibu sana mkuu. Niitie na juve2012

Bila Mourinho hii thread huwa haiendi. Mou ni moja kati ya die hard fans wa Juventus, kuna juve2012 pia naona umemtaja hapo, hawa jamaa ni wakereketwa wa Serie A na Juventus. Ni watu wazuri na safi sana kuongea nao kuhusu mpira, they know their stuff and wanaupenda mpira. Nimewamiss to be honest.

Na dada everlenk nae ni follower wa kichini chini wa Juventus, ilikuwaga kambi yake hii pia ya kupoozea machungu ya United.

Not a bigger fan of serie A but Mourinho and juve2012 taught me a lot kuhusu serie A kupitia comments/posts zao kwenye hii thread.

Huwa watu pamoja na ndugu yetu Pazi, na hawa wapinzani Belo na Nzi huwa nawaita "LEGENDS". They love football.
 
Siwa pendi kwa kuwa nashabikia Madrid lakin pia kipindi hiki cha messi nawachukia
Enzi za Ronaldinho nilikuwa siwachukii nawakubali tu lakin si shabiki

Sasa napenda muendelee kuleta ushinda kwenye ligi na si mcheze kama mlivo cheza juz hata kama mna shindwa muwe mlikamia na nyie
Naona kama vile hizi post zimekosea njia. Hizi zina uzi wake unakwenda kwa title ya "falling for Luis Endrique and rise......
:D:D haya bana, ntaacha kukupa Li-LIKE chezea tu...

Upinzani ndio unao fanya tuelewane na ndo uzuri wa mpira.

Mi hata ukimsifia Messi Like unapata tuu.

Tukutane dec 3

Yeah nikweli Mkuu, tupo pamoja sana! Tusubiri hiyo dec 3...dakika 90 zitaamua...

Hautupendi kwa sababu tu ya Messi anasumbua ulimwengu wa soka sio....

hapo kwenye black naona kama ka-viseversa flani ivi umepitishia=kutoipenda Blaugrana ni mojawapo ya kufurahia pale inapozidiwa ama kufungwa kabisa ndio point yako ama:D
 
Bila Mourinho hii thread huwa haiendi. Mou ni moja kati ya die hard fans wa Juventus, kuna juve2012 pia naona umemtaja hapo, hawa jamaa ni wakereketwa wa Serie A na Juventus. Ni watu wazuri na safi sana kuongea nao kuhusu mpira, they know their stuff and wanaupenda mpira. Nimewamiss to be honest.

Na dada everlenk nae ni follower wa kichini chini wa Juventus, ilikuwaga kambi yake hii pia ya kupoozea machungu ya United.

Not a bigger fan of serie A but Mourinho and juve2012 taught me a lot kuhusu serie A kupitia comments/posts zao kwenye hii thread.

Huwa watu pamoja na ndugu yetu Pazi, na hawa wapinzani Belo na Nzi huwa nawaita "LEGENDS". They love football.
Asante sana ,Hata nawe uko vizuri sana kwenye soka,mambo yako sasahivi Najua yako vizuri sana hauhitaji Hata kuchepuka ila siku moja moja jitahidi usisahau washikaji zako wa kambi hii,njoo tu uchambue soka la Italy........
 
Dah naona mnafagiliana tu....:D
 
Asante sana ,Hata nawe uko vizuri sana kwenye soka,mambo yako sasahivi Najua yako vizuri sana hauhitaji Hata kuchepuka ila siku moja moja jitahidi usisahau washikaji zako wa kambi hii,njoo tu uchambue soka la Italy........

hahahahahahaha

ngoja nimalizane na Bournemouth kwanza leo hii

then nitaweka kambi humu.

si unajua, LFC ndio kila kitu..
 
Baada ya juzi SS Napoli kuisasambua International Milan magoli 3-0 jana nao Juventus wameshindwa kupata clean sheet baada ya ushindi wa goli 3-1 dhidi ya timu dhaifu ya Atalanta. Juve wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom