Juventus Special Thread

Mkuu Mpira ulianza muda.....nahisi Madrid watatolewa kwa kupanic

Hahah...hiyo ni statement tu ya kimichezo.

Madrid walikuwa wanaringia goli la ugenini, sasa nalo wenzao wamelipata
 
Rm naona yanagonga chupi wanajikaza shida wamezoea magoli marahis mno hizi jamaa kwa kutake risk nje ya 18 acha kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…