Tukisoma Taratibu Zenyewe za ICC Tunaona Kwamba Serikali ya JK na CCM Wamevunja Sheria za Tanzania na Kudharau Mahakama Kuu ya Tanzania. Tusome Hapa Chini Kutoka Website ya ICC:
Arbitration
Often the parties are from markedly different national, cultural and legal backgrounds.
They want to avoid litigation because they fear bias by national courts, are unfamiliar with national court procedures and want to be spared damaging publicity. ICC arbitration is an attractive alternative because it is international and confidential. Usually, it is less time-consuming and less expensive than litigation.
he Court organizes and supervises your arbitration and helps in overcoming obstacles. It does not itself resolve disputes, a task that is carried out by independent arbitrators. The Court makes every effort to ensure that the award is enforceable in national courts if need be, although in practice the parties usually comply
Under ICC Rules, the parties can choose the arbitrators, the place of arbitration and which rules of law should apply. They can even indicate a target date for completing the arbitration and estimate approximate costs in advance in full confidence that the Court will exercise control over the choice of the arbitrators, over the procedure, over the costs and over the award
Ukisoma Yote Haya Tutaona Jinsi Gani JK na Rostam Wameuchezea Ngoma Watanzania. Wanafikiri Hatujui Jinsi ya Kuresearch na Kupata Information Sahii. Huu Ndio Mwisho wa CCM na JK...
wewe zombeJK na Rostama unawazimia ndio maana unawataja, soma vizuri uliyoyabandika hayo ndio yanafanya mawakili wanaotaka kupinga hukumu ya ICC kuonekan ni uchwara, hawana kesi hapo.
Yaaumbue majizi
Na wasiwasi na uraia wako wewe si mtanzania kama ni mtanzania si yule wa kawaida.Mwizi ni yule aliyeletewa mali akakataa kuilipia na ICC wameliona hilo hakuna pa kukwepa.
Ukisikia mawakili pumba ndio hao. Kesi imeamuliwa ICC na mahakama ya hapa ni kusajili maamuzi, wangepinga huko ICC na si hapa, mahakama ya Tanzania haina mamlaka ya kufuta maamuzi ya ICC.
Wanajitafutia umaarufu lakini hawana kesi ya kushinda katika hili. Wangeshinda ingekuwa tu Dowans hawatimiza masharti ya mkataba.
The only way out ni kutangaza kuwa hatuwalipi Dowans na kuwalipa chini ya uvungu. Otherwise ya LONRHO na Nyerere yatajirudia.
Na wasiwasi na uraia wako wewe si mtanzania kama ni mtanzania si yule wa kawaida.
Dr. Mwakiembe ni populist leader na very flamboyant when it comes to public interest sometimes mpaka anakuwa sensesional.Ukisikia mawakili pumba ndio hao. Kesi imeamuliwa ICC na mahakama ya hapa ni kusajili maamuzi, wangepinga huko ICC na si hapa, mahakama ya Tanzania haina mamlaka ya kufuta maamuzi ya ICC.
Wanajitafutia umaarufu lakini hawana kesi ya kushinda katika hili. Wangeshinda ingekuwa tu Dowans hawatimiza masharti ya mkataba.
The only way out ni kutangaza kuwa hatuwalipi Dowans na kuwalipa chini ya uvungu. Otherwise ya LONRHO na Nyerere yatajirudia.
Tatizo ni kuwa waTanzania ukweli huwa hatuupendi wala hatuutaki.
Mimi ni mTanzania na tena napenda ukweli na hayo niliyayesema hayapingiki. Jee, kama mtu kakuletea bidhaa yake ukikataa kumlipa ni nani mwizi hapo? Angekuletea bidhaa kinyume na makubalianao, una haki ya kukataa kumlipa, asingekuletea kabisa na wewe ndio una haki kabisaaaa ya kutomlipa. Kwa la Dowans ukweli unabaki palepale, mitambo imeletwa na ipo Ubungo, imejaribiwa na inafanya kazi vizuri kabisa. Sababu za kukataa kuwalipa ni nini? Majaji wa ICC hawakuiona, jee wewe unayo?
Kuna mtu alisema Dowans ni kaburi la JK.
Patamu hapa, sasa mwanaume na asimame, Umefika wakati wa mwanasheria mkuu ajiuzulu maana hana faida kwa watanzania!
Kunguru yule kwa ufinyu wa akili yake alishapitisha walipwe!
come rain ..come sun, go east.. go west.... Zomba wewe sio Mtanganyika
LAT, Zomba ni Mtanzania tatizo lake he is realist wakati wengi humu ni ma populist wanafuata public opinion. Mimi ni kama Zomba, kwa hukumu ya ICC, tumeshikwa pabaya na hatuna pa kutokea and that is a fact!.come rain ..come sun, go east.. go west.... Zomba wewe sio Mtanganyika
Dr. Mwakiembe ni populist leader na very flamboyant when it comes to public interest sometimes mpaka anakuwa sensesional.
Wajameni nimeisoma hukumu ya ICC, ilichofanya ni kuidhinisha tuu vipengele vya mkataba ambao walikubali uamuzi wake ni wamwisho, hauna rufaa wala hauhojiwi na mamlaka yoyote!.