Ndiija owaitu= Nitakuja nyumbani/kwetu= I will come/be back home. Anasema akisha ng'oa shina la mgomba na kumpanda mche mwingine, atarudi nyumbani, anasema; asisemwesemwe na kumtia nuksi, achwe afanye kazi, ndo furaha ya kila mtu, atarudi nyumbani(akisha fikia malengo/mafanikio/matunda).
Daaaaah apumzike kwa amani Justine kalikawe
Samahani wadau mwenye ngoma za album yake ya mwishoo
Haswaaa ngoma ya WAKATI
mashairi yake
"ni wakati mgumu tunaoishi ooooyooo..mwanadamu amejaza ubaya rohoni mwake ona sasaa anafanya vitu vya huzuni na majonzi "
Naitafuta saaaana hii ngoma
Nashukuru zingine kama MABAWA na Mv BUKOBA nimezipatia humu humuu
Nilikuwa na Album yake huyu jamaa.........Ningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege , Kuna binadamu wengine wana roho ya korosho , Panapofuka moshi ujue kuna moto chini , Tatizo la wamachinga polisi na wamachinga ...