NakaziaUmaarufu wa hollywood una gharama zake dogo hayuko sawa kitambo kuna kitu kinaendelea namuona anajitahid sana kua karibu na Mungu
Na azidi kua karibu na Mungu lasivyo atapotea mazima.Umaarufu wa hollywood una gharama zake dogo hayuko sawa kitambo kuna kitu kinaendelea namuona anajitahid sana kua karibu na Mungu
Utajiri, Balehe, Utoto na Fame Plus Makundi = Janga ZitoHawa watu sijui huwa wanakwama wapi? Yaani wanapesa lakini wanakuwa na upumbavu mwingi.
Ngada hizo.
Depression, stress kitu kibaya sana nani anajua mikataba ya kiroho aliyoingia, fame mwisho wake inakuja kuwa shame, ukifuatilia historia za wanamziki waliohit sana wanakuja kuishia kwenye matatizo makubwa na hata kujiua, just imagine u akuwa unahela na kila kitu na haziwezi kukusaidia