Justice For Mnyika

Mpigie Simu au Pigia simu Chadema, Mbona Humuulizii Halima Mdee, au Selasini au Msigwa? Myika ni Mwanasheria, inawezekana Chadema wanastratege Wengine wanaandaa mikakati in-office. Pili Myika Nadhani ni Naibu Katibu Mkuu, Labda anasaidiana na Katibu mkuu kuweka baadhi ya mambo sawa.
 
Nyie mnaoshadadia mambo ni wasemaji wakuu wa Mnyika?

Kwanini kuusemea moyo wake wakati yeye yuko hai?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…