Justice For Mnyika

#justiceformnyika
 
Mnyika anajiandaa kujiunga na CCM...... Maana Chadema siku hizi wamekumbatia mafisadi....
Richmond ni ya Kikwete akienda huko atakutana na Escrow, kivuko feki, mabehewa chakavu, Chenji za Rada na la Bunge la katiba, Lugumi nk
 
mbona huzilili pesa zilizotumika kumnunua Slaa akatoroka ? Kwanza pesa aliyopewa Slaa akatoroka ni pesa ya NIDA toka Kwa Membe wa ccm , mchukue mpe pesa Kama mlivyompatia Lipumba sasa anaivuruga CUF , naona umekuja na gia ya kuangalia watu watasemaje pindi Membe na Timu yake ya akina January wakimpatia pesa toka kwenye handaki zilikofichwa mabilioni ya marehemu Gadafi na NIDA .
 
Kimya kivipi? Hivi hamjui kuwa shughuli zote za kisiasa Kuna jamaa wamekataza??? Bunge halionekani!!!! Sasa mtamuona wapi?

John Mnyika njoo ujibu tujue moja, otherwise kesho nakuja kwako Kibamba
ni kweli mkuu live haipo na wapinzani sasa hawapo huru pindi wakiwa mjengoni watamwonea wapi Mnyika ? Sasa huu mjadala pia ni somo zuri kwake naamini anafika JF akisoma maoni mbalimbali atajifunza kitu , na endapo ana mbinu zozote pia atapata jawabu juu ya mbinu zake zote.
 
Inaumiza sana kuona mtu kama Mnyika anapotea kirahisi hivi Mnyika ni hazina kubwa sana Kwa Taifa....... Mnyika sio mtu wa kukaa kimya hivi asitoke neno lolote Kwa yanayoendelea hapa nchini.... Chadema na Simba kama Baba mmoja hivi matumbo mbali mbali.... Unamwacha Tabwe unamchukua Serunkuma
..... Unamwacha Dr. Slaa unamchukua Lowasa...
..... Unamwacha Okwi.. Unamchukua kiongera
..... Unamwacha Mnyika.. Unamchukua Dr. Mashinji sijui....
...... Unamwacha Elias Maguli... Unamchukua papa ndovu na kiatu chake cha hirizi
.... Unamwacha Zitto Kabwe.... Unamchukua Sugu...
 
uwe unahariri kabla ya kupost
 
Naona waratibu wa hii kovement ni wanaccm

Kituko
 
Nyambafu kabisa
 
Peleka porojo hizi Lumumba.
 
Hatimaye shujaa wetu Mnyika kawafumba mdomo mafisadi na ukweli umejulikana.

#justiceformnyika
 
Haya tena Mwana Propaganda Uchwa- Huyu Myika Unayesema alimpinga Lowassa huyu hapa Akimtetea Kura za Lowassa. Kama Unajua Kiingereza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…