Justice delayed is justice denied.”

kinepi_nepi

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
869
235
Kikwete na Mizengo Pinda wameamua kwa makusudi kudhorotesha matumizi ya haki, na kuwaaacha watanzania wengi wakiwa wamenyimwa haki zao za msingi.
Je bado watanzania tunahitaji utawala wa hawa wala-watu tena?
Ni lini haki itatendwa dhidi ya mali za mtanzania?
Ni lini atapatikana msimamizi wa haki ya mtanzania wa kweli?
Wenye uchungu wa kweli na kizazi cha mtanzani wakati ni huu wa kupigania haki.
mapinduzi yote duniani yaliletwa na baadhi ya watu waliojitoa mhanga kwa ajili ya wengi.
Kama vile, Yesu, Martin luther,Nelson mandela,Sara wiwa,
Mkwawa, nk.
Ni nani yuko tayari kuwasaidia watanzania hata ikimpasa kufa????
 
Vitendo wanavyovifanya huyu Pinda na JK ni vibaya kuliko wanavyo fanya vibaka, ambao kwa kukosa kazi ambazo waliahidiwa, wanaiba. Pamoja na kufanya uhalifu na usanii. Haya matendo ya kushindwa kusababisha na kuhakikisha kuwa haki inatendeka ni sababu kubwa ya vifo na mataabiko mengi ambayo watanzania wa kawaida wanakumbana nayo kila siku.

Bado hawaelewi hawa. Ni kuendelea kutoa shinikizo mpaka kieleweke...Haswa kupitia wafadhili wa bajeti. Manake viginevyo wataburuta miguu tu.
 
Mie nimeshasema hapa tuna kundi la wahuni tu wasiokuwa na ujasiri wowote wa kufanya maamuzi kwa maslahi ya Tanzania wamejivisha ngozi ya uongozo ili kutuzuga Watanzania. Siku zote huwa wanatafakari kwanza mafisadi wenzao wataowanaje ikiwa watafanya maamuzi ambayo mafisadi hao hawatayapenda badala ya kuweka mbele maslahi ya Tanzania na Watanzania. Wote hao wawili nimeshakata tamaa kabisa na utendaji wao.
 
Wakati umefika watanzania kuwa kwamba nchi inaongozwa na genge la majambazi. Ni lazima viongozi hawa wahuni wajue wazi tunawachukia.
 
Back
Top Bottom