Hali zenu waungwana wenzangu.
Kama kawaida mi huwa naleta thread za mambo yanayohusu maisha yangu ya kila siku ili mnisaidie ushauri. Nlipokuwa bongo nlikuwa na girl friand wangu aliekuwa anaitwa Martha.Huyu msichana tulishibana sana na hasa ukizingatia mi ndo kumtoa bikra, kwahiyo alinipenda vilivyo na mimi nilimpenda pia kadri niwezavyo.
Basi baada ya hali ya maisha bongo kuwa fucked up ikabidi nikatafuta njia na kufanikiwa kuingia kwa weupe queen Elizabeth land.Ila kabla ya kuondoka tukawa tushapanga kuwa endapo naondoka ila yeye ndio atakuwa mke wangu, na yeye akaniahidi kuwa endapo naondoka ila atanivumilia ili aje kuwa mke wangu.
Basi bwana baada ya kufika kwa weupe tukawa tunawasiliana sana.Tunapeana moyo, mara siku kadhaa za mbele mawasiliana yakaanza kupungua nikimuuliza sababu ananilisha polojo tu, simu ilikuwa mbovu, mambo yake nilienda kwa ma mdogo nikasahau simu nyumbani.
Alafu kilichoniuma zaidi nlikuwa namtumia ela za kufanyia huku nkijiandaa kuleta mahari. Baada ýa siku kadhaa nkapata taarifa km dem ashajazwa na mjinga flan toka South afrika.
Mwanzo nlipomuuliza dem alipinga mwishoni akaja kukubali basi tukaachana nkampotezea. Akaendelea na msouth wake mara msouth akaingia gizani na kumwacha kwenye mataa.Msichana akalea mimba adi akajifungua na kuntumia picha ya mwanae, nikampongeza kwa kuzaa na tukawa kama marafiki wa kawaida tu.
Sasa kila siku zinavyozidi kwenda mwenzangu anazidi kujisogeza kwangu tena mara aombe msamaha ata kama sijamuuliza swala hilo mara aonekane kujuta ila mimi sikuwa na mpango wa kurudiana nae tena, kuna kipindi alikuwa anaenda hadi nyumbani kuwasaidia wazee wangu kazi.
Hadi wazee nikawasafirisha akakosa njia nyingine ya kunibembeleza ila akawa ananambia atafanya juu chini hadi turudiane, nikamwambia hiyo ni ndoto anayoota mtu anaetembea mchana kweupe. Sasa mimi nina fiance wangu ambae natarajia kufunga nae ndoa huku na nshamwambia.
Cha kushangaza juzi kanitumia message eti ameshasikia kuwa kweli mi nataka kuowa huku na kwamba mi nikishaowa huku ndo itakuwa mwisho wetu mi na yeye na pengine ata Afrika sitorudi tena, kwahiyo bora yeyeajiuwe na mimi ili asiendelee kuteseka ajili yangu.
Mi nikamjibu we ukitaka kujiuwa jiuwe ila mimi sihusiki na kifo chako maana sijakuchangia ata sh 5 ya kununua sumu kwahiyo kifo hicho kitakuhusisha mwenyewe na shetani wako.Toka nimjibu hivo haja reply na mimi sihitaji kujua kinachoendelea kwake.
Nyinyi wana maoni wenzangu mnasemaje kuhusu uamuzi wangu na majibu nliyompa yanafaanimefanya kosa kumjibu hivyo.Karibuni tumjadili huyu mpenzi wangu wa zamani.