englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
...ni uwongo wa mchana kweupeeee..! wazungu wenyewe wanatia akili na wanatamani hata kumshika mkono mbongo aliye pata fursa ya kuingia white house,sembuse mtu anayeishi humo...?unacheza wewe... nenda zanzibar akusimulie yule dogo aliyeitwa kwenye mkutano wa young leaders kama sikosei akwambie wazungu wanavyobabaika...Huyu mtu kwao ni wakawaida tu ila akija kwetu tunafunga barabara, tunazisafisha na sabuni, ndege haziruki....
...ni uwongo wa mchana kweupeeee..! wazungu wenyewe wanatia akili na wanatamani hata kumshika mkono mbongo aliye pata fursa ya kuingia white house,sembuse mtu anayeishi humo...?unacheza wewe... nenda zanzibar akusimulie yule dogo aliyeitwa kwenye mkutano wa young leaders kama sikosei akwambie wazungu wanavyobabaika...
Huyu mtu kwao ni wakawaida tu ila akija kwetu tunafunga barabara, tunazisafisha na sabuni, ndege haziruki....