...hapana bana...nilijifunza mental discipline miaka ile ya unjuka boarding school...
Enzi hizo Disco za wanafunzi DJ anaunganisha blues zote za Lionel Richie kuanzia
stuck on you, hello, 3times a lady, kisha time after time ya Cyndi Lauper kabla hajamalizia na
Sexual healing ya Marvin Gaye..- kizani!
kufumba na kufumbua ukumbini taa zinawashwa halafu DJ anaweka Oye co Mova...-Santana.
Kwakuwa niliijua routine, haikuwa taabu ku switch off akili kabla ya kuadhirika na suruali zangu
za mchele mchele miaka hiyo...
Huku ukubwani it's the same...na switch off tu mawazo ya ushwetani, hata kama na share kitanda!
Hhmm!!
habari ndiyo hyo Elizabeth lol
Acha weeee. . .
Basi wengi tumewekana 'pending' bila kujua.
"Just a friend" ni kalugha ka kufichia hisia za mahaba kati ya watu ambao bado hawajaweza kufafanua mvuto wa kihisia uliopo kati yao!
Kama ulivo sema hapo juu, kudevelop hisia kwa rafiki yako sio kosa, na in fact it doesn't change the friendship. Ni what you do with the feeling that will. Kama nitaweza kumeza feelings zangu na kuzisuppress kabisa before they escalate to love basi hakuna ubaya... And I expect the same from him.
It is a bit more complicated kama kuna watu wengine involved, mfano wahusika wana wapenzi etc.
yah kweli acha ibakie tu "just a friend"
Unazipotezea tu. We hujui kama feelings zinahitaji uziendekeze ili zikue?Unawezaje kumeza hizo feeling zisionekane?
Kama mimi na wewe ehhhh?Lolz
sio vizuri kusoma akili za mwanaume!
Kama maabara sawa
P, V, T are constant
...lol,bado nawashangaa mnaona ugumu gani jambo hili...
self discipline bana, siendekezi mfadhaiko...hasara yake kubwa
kuliko starehe ya dakika chache.
...lol,bado nawashangaa mnaona ugumu gani jambo hili...
self discipline bana, siendekezi mfadhaiko...hasara yake kubwa
kuliko starehe ya dakika chache.
Kuna vitu vingine
viko worth hiyo risk
anyway, si kila mmoja huwa hivyo
kuna mmoja..!!
Itakuwa ngumu sana kuvumilia
nani kasema? nyau wengine wanatisha! lolwewe njoo tu
utaona itakuwaje lol
mtu mzima hatishiwi nyau lol