Just 2 bedrooms na toilet

Just 2 bedrooms na toilet

Naomba uweke mchanganuo wa hiyo 4.5m kuinua boma mpaka kupaua!!! ni hatari sana, au mimi ndio sijaelewa
 
Naomba uweke mchanganuo wa hiyo 4.5m kuinua boma mpaka kupaua!!! ni hatari sana, au mimi ndio sijaelewa
Sasa hapo tyr naingia kazini, haiwez kua bure tu, chukua hizo picha unampa fundi wako wa karibu akupe hesabu yake then utalinganisha, Ukipenda unaweza ku-share na sisi hapa.
Ila mimi nafanya mchanganuo pale kazi inapokua karibu kufanyika.
 
Back
Top Bottom