Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 483
- 363
Me mjenzi nduguUnauza?
ujasema unspatikana wapiHABARI,
Hiyo hapo 2 bedrooms na public toilet, nzuri ya kuanzia maisha kwa wale wenzangu wanajitafuta, unaweza kuifanya servant quarter, unaweza pia kuifanya ya wapangaji. Gharama zote zilizotumika hapo ni 4.5M, boma hadi kufunika paa, na gharama za fundi zikiwemo.
Wale wenzangu wa kujitafuta karibuni. +255 712 271427
Dsm Mkuu,ujasema unspatikana wap
ujasema unspatikana wapi
Dsm Mkuu,
By the way, Chumba ni elf 30 tu, tunalipa mwezi au miwili unafanya kazi ya watu ikiisha tunarudi.
Umbali sio problem, mafundi tunazurura sana mikoani.
Hata hapa dsm huwez kutoka mbezi uende site chanika au kivule kila siku, ni nafuu kuchukua chumba jirani.
okDsm Mkuu,

Kiwanja una pewa bure ehh?kama kweli unatumia 4.5 basi tuuzie hata kwa 6 million tunakupa
Kazi yangu kujenga, na ndio kazi nina uzoefu nayo kuuza ni biashara ya watu wengine.kama kweli unatumia 4.5 basi tuuzie hata kwa 6 million tunakupa
Mtoa mada Yuko wapi???
I wanted to ask the sameKiwanja una pewa bure ehh?