bakar faki
Member
- May 9, 2014
- 64
- 12
Jaman wazanzibari wenzangu kama kweli tunaipenda zanziba, tuandae maandamano makubwa ambayo hayajawahi kutokea zanzibar kwa ajili ya kuwapokea mashujaa wetu hawa akina salma saidi na wenzake.
Pia tuwaandalie usafiri wa ndege ikiwezekana kutoka dodoma hadi zanzibar, siku hiyo washajiishwe wazanzibari wote wenye uchungu na nchi yao kike kwa kiume wakubwa wadogo watoke majumbani mwao wajipange barabarani kuanzia uanja wa ndege hadi mjini kuwalaki mashujaa hao.
Ndugu zangu wazanzibari tusipofanya hivyo tutakua hatukuwatendea haki wapiganaji hawa, na tutakua wanafiq kujidai kuwa tuaipigania zanzibar kumbe ni waongo kama vile mibunge ya ccm kjidai yanaipigainia zanzibar ilipofika dodoma ikatusaliti kwa vijisenti.
Nduguzangu wenzetu wameonesha kwa vutendo na sisi tuwaunge mkono, ushindi uko mikononi mwetu.
ZANZBAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!