Jussa kawaponza wapemba Dar

Jussa kawaponza wapemba Dar

Fikiria kwa ubongo, hiyo notice ulishawapa wachina?

Wazanzibar hata kama muungano ukivunjia leo, nyumba watawapa watoto wao ambao kiheria ni watanganyika.

Kwa hiyo wazee watarudi Zenji au wataomba permit kama wageni wengine na nyumba zao zitakuwa za watoto wao.

Kama ulikuwa unangojea dezo, yaguju.

ZNZ kwanza upuuzi baadae.

hakuna Uraia kila mtu kwao nyambavu
 
Hiyo ni ndoto ya mchana. Kama wachina wanauza hadi mkaa na wengine ni madobi hawajafukuzwa sembuse wapemba?

Hatuna matatizo na wachina .tunamatatizo na mtu aliyemkana kaka yake wakati bado anataka kukaa nyumbani kwake ,huu unafiki ndio hatuutaki ,muda ukifika ni lazima mfungashe
 
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya uhuni wa Jussa na Seif, zee liso haya... Kwa kuwa tumeishi vizuri na kwa salama wazenjibara waliowekeza au kubangaiza kashata na gahawa bongo, waanze kujiandikisha uraia wa Tanganyika na 'wazanzibara warudi nyumbani ardhi tele. Kwa heri Dr Bilal, Suluhu, Mahadhi, Mwinyi, Nahodha hakuna vyeo vya bure nendeni kugombea usheha unguja au pemba! Maneno na nahau nyiingi kazi hakuna!

ha ha ha ha, aisee poleni sana kumbe mnaupenda muungano watwana nyie. ata cjui mtume gani kakwambieni kua muungano na zenji ndio roho ya tanganyika. so wondering mmeahidiwa na mtume gani sijui. na nikimjua atantambua!
 
tusiwachekee haya wapemba acha waondoke na dhambi ya kubaguana na itawatafuna vibaya nashauri waanze kuuza namanga Kyle msasani mandazi road na buguruni
Aisee ! Au ndiyo maana BUGURUNI KWA MNYAMANI imekuwa chimbuko la Kipindupindu kwa Dsm ?
 
Wazenj maneno mengi yatawa-cost wanawafuata wale Wanasiasa?!
 
Ardhi si suala la muungano kwa sababu wa zanzibar wametaka mafuta na gas yasiwe mambo ya muungano...
WAZANZIBAR WENGI WANATAMBUA KWAMBA DAR ES SALAAM NI LONDONI KWAO.. Hivyo wajipange kuanza maisha mapya huko znz
baada ya wapemba kuondoka, kumbuka kuwa grosari zote za hapa dar zitafungwa kwa sababu wazaramo, wakwere na wandengereko wataitaka dar yao. wachagga, wanyakyusa, wahaya, wagogo, waskuma itabidi warudi kwao. anae mbagua mpemba ajue kuwa analipua bomu kubwa sana. udini utashamiri. waislamu wataomba ukanda wao wa pwani zikiwemo bandari zote. tuachane na habari za kuwaongelea wapemba. walio wengi hapa dar ni wakuja. itabidi na sisi turudi mikoani kwetu. nakumbusha kuwa dar au pwani ilikua inakaliwa na waarabu, wahindi na waswahili. tuache chuki za majitaka
 
Uraia Wakaombe Qatar na si Tanganyika Hakuna Mpemba kupewa Uraia Na Sisi Tulio Kwao Tunarudi washenzi wabaguzi sana hao sasa wabaguane wenyewe na kutupiana mijini maana ndo kazi yao

Popobawa wanatokea na kuishi Pemba!!!!. Ieleweke pia kwamba Wapemba nao wanataka Pemba iwe nchi na Unguja iwe nchi zinazojitegemea. Cha muhimu hapa ni Tanganyika kuwasaidia kuharakisha kupata uhuru wao awepo rais wa Jamhuri ya Pemba, Jamhuri ya Unguja na Jamhuri ya Tanganyika. Nimesikia hata Mtwara wanataka kuunda Jamhuri yao ya Mtwara rais wao wa kwanza Bernard Membe. Kila mtu anataka uhuru wake aishi ,ale na kufanya atakalo. Tuendako kugumu!!!
 
Ardhi si suala la muungano kwa sababu wa zanzibar wametaka mafuta na gas yasiwe mambo ya muungano...
WAZANZIBAR WENGI WANATAMBUA KWAMBA DAR ES SALAAM NI LONDONI KWAO.. Hivyo wajipange kuanza maisha mapya huko znz
Bila ardhi sijui itakuwa nchi vipi?Na muungano utakuwa upi?Unless hawa jamaa wanatumia fikra zao za kuoana na majinn..viumbe wasio na mwili.
 
Kumbuka hili litakuwa bifu kwani wenyewe kwa ujinga wao wameuvunja muungano kwa kumfata Jussa na Seif.
Hawa watafukuzwa na wananchi wenyewe sio wala serikali ya Tanganyika.
Tutawapa kipigo cha mbwa mwizi warudi kwao wakavue na kuendeleza kilimo cha miogo na magimbi.

SIO Dar tu, wako wengine wamejenga bara na hata huko makao makuu ya chama na serikali. Na wamejazana mno huku wakitaka muungano uvunjike hali wanaendelea kuhamishia familia zao huku anzeni kuomba uhamisho wakuwarudisha ndugu zenu kwani hata elimu si suala la muungano tena.
Yupo mmoja yuko busy na DVC-PFA nae sijui itakuwaje huko moyoni mwake maana itabidi auteme
 
baada ya wapemba kuondoka, kumbuka kuwa grosari zote za hapa dar zitafungwa kwa sababu wazaramo, wakwere na wandengereko wataitaka dar yao. wachagga, wanyakyusa, wahaya, wagogo, waskuma itabidi warudi kwao. anae mbagua mpemba ajue kuwa analipua bomu kubwa sana. udini utashamiri. waislamu wataomba ukanda wao wa pwani zikiwemo bandari zote. tuachane na habari za kuwaongelea wapemba. walio wengi hapa dar ni wakuja. itabidi na sisi turudi mikoani kwetu. nakumbusha kuwa dar au pwani ilikua inakaliwa na waarabu, wahindi na waswahili. tuache chuki za majitaka

Tunaongelea Tanganyika na Zanzibar wewe unawaza kuhusu Dini yako!

Kwani Wapemba hapa Tanganyika ni kwao?

Mtanganyika anaishi sehemu yoyote ndani ya Tanganyika hii,lakini haitakuwa hivyo kwa Wala urojo!

Kiherehere kimewaponza sasa mnahangaika
 
Kuna watu sijui mada hizi wanazitungia wapi? Sisi wabara tumejaa zanzibar asilimia 80% ya wafanyakazi wa mahoteli ni watu wetu kutoka bara, ndugu zetu kibao wanafanya biashara pia huko zanzibar, kiburi na fitna hizi sijui kinatokea wapi? tatizo kuna baadhi yetu hatujaishi znz ila madai yao ya zanzbar huru ni ya ya wananchi wenyewe na si ya kiongozi yoyote yule. tuwe wastaarabu na wabinaadam hawa watu waneshateswa na kuuliwa na serikali ya tanzania hasa kipindi cha Mkapa wanachotaka sio uhasama zaidi ya Nchi yao, nashangazwa kusikia kila siku sisi wabara ndio tunakua na chuki juu yao na hata baadhi ya ndugu zetu wakifika zanzibar huingia CCM wakaanza kuwagawa wazanzibari hivi sio vizuri hata kidogo. mimi Mtanganyika nalilia Tanganyika yetu na naona tunapoteza muda bila kulirejesha taifa letu Tanganyika.
 
Mbona huu uzi siuelewi elewi wakuu?

subiri mod akiufunga ndo utaelewa tu, unajua hawa wapemba tunawavumilia sana sasa muungano ukivunjika hakuna raia wa nchi nyingne kumiliki ardhi bongo ndo hapo kkoo ntahamia bure
 
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya uhuni wa Jussa na Seif, zee liso haya... Kwa kuwa tumeishi vizuri na kwa salama wazenjibara waliowekeza au kubangaiza kashata na gahawa bongo, waanze kujiandikisha uraia wa Tanganyika na 'wazanzibara warudi nyumbani ardhi tele. Kwa heri Dr Bilal, Suluhu, Mahadhi, Mwinyi, Nahodha hakuna vyeo vya bure nendeni kugombea usheha unguja au pemba! Maneno na nahau nyiingi kazi hakuna!

dua yako iwe kweli ukoloni umalize....
 
Wewe usifikiri ndani ya box wabongo wangapi wapo nchi za watu na wanawndesha maisha Kama kawa msidanganye ile nchi haiwezekani rais wa Zanzibar hawezi kuingia mkataba wa kimaendeleo na nchi yeyote duniani hadi kikwete hata nyie Cdm mngekubaki suala la kuwafukuza kwa dunks ya sasa hamuwezi sisi wazaramo tumewakaribisheni watu wa bara mmejaa kwa wingi dar mbona hatuwafukuzimlikuwa milimani mnachunga ng'ombe Jibuni hoja za wazanzibar
 
Lazima wale mdudu Tu kudadekiiii

Kudadeki zako.....
Nlichokiona Hapa si utanganyika na Uzanzibar ...bali ni CHADEMA (Wakristo) wakionyesha
chuki za wazi dhidi ya Wapemba (waislamu )

Halafu chadema na wachaga mnafikiri kila muislamu ni Mpemba !

Sasa nyinyi waguseni hata nywele...ndio mtajua mziki wake....

Mkimaliza tu kuwalisha Dudu wapemba na sisi wenye pwani yetu tunaanza Kuwalisha Dudu wachaga na CDM wote kwa kasi ya ajabu...kuelekea Karatu...halafu tunawazingushia uzio watalii watakuja kuwangalia jinsi mnavyoshindana Kunywa mbege

Tunaanza na wewe elli katibu wa tarafa wa chadema...

TANGANYIKA na ZANZIBAR kwanza Mbege baadaye
 
Adui mkubwa wa wapemba ni waarabu 2 Jusa na Seif. Mkiendelea kushabikia muungano kuvunjika hakika mtajuta! Mtabaki yahe.yahe.. Watanganyika hawatawasaidia!
 
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya uhuni wa Jussa na Seif, zee liso haya... Kwa kuwa tumeishi vizuri na kwa salama wazenjibara waliowekeza au kubangaiza kashata na gahawa bongo, waanze kujiandikisha uraia wa Tanganyika na 'wazanzibara warudi nyumbani ardhi tele. Kwa heri Dr Bilal, Suluhu, Mahadhi, Mwinyi, Nahodha hakuna vyeo vya bure nendeni kugombea usheha unguja au pemba! Maneno na nahau nyiingi kazi hakuna!

Tukimaliza na Wapemba tunakuja na Wachanga na Makabila mengine waondoke Dar, teh teh teh.
 
Tanganyika kuweni wapole venginevo hiyo 10 mile coastal strip,hadi kibaha pia tutaidai. Mbona haki ya Zanzibar, Wazaramo na wapwani kwa ujumla historically were subjects of his highness sultan of Zanzibar hivo ni Wanzazibari zaidi kuliko Watanganyika.
 
Back
Top Bottom