Jussa: Huu ndio unafiki wa hali ya juu!

Jussa: Huu ndio unafiki wa hali ya juu!

Sentensi ya mwisho sijaielewa...yaani wajikomboe kutoka wapi??sisi ni wamoja na nchi yetu ni moja tanzania na zanzibar na tunayo serikali yetu moja ya muungano na mapinduzi.

Tanzania na zanzibar ni nchi moja?mbona marais ni wawili?soma historia
 
Acheni kuchezea kijinga cha moto, hebu nenda ethiopia sasa hivi, uone jinsi wa Eritrea wanavyojuta kupata uhuru. Hivi Zenji, mnakosa nini mpaka mlie, wewe una mtu anajali matatizo yako yote, anatafuna wewe ni kumeza tu, unataka nini zaidi?

Mnahitaji, kuwashukuru saana, hawa wajumbe wa Zenji kwenye bunge la katiba, waliona mbali ambako mlio wengi hamuoni. Kwa mtafaruku wa sasa, mkibaki wenyewe, hamchukui wiki, Zenji italipuka na kuwa Somalia/Afghanistan mpya.

Tulieni, mjenge nchi.
 
Hawa watu inabidi tuwacheke tu. Wako usingizini. Wanadhani bado propaganda na fitna za kijinga na kipumbavu kama hizi zitaisaidia CCM. La ajabu ni kwamba juzi tu wamemkaribisha kwa heshima zote Rais wa Ujerumani (nchi iliyokuwa ikiitawala Tanganyika) na katika fakhari kubwa za Marais wote walotawala Tanganyika kuanzia Julius Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa hadi Jakaya Kikwete basi ni kutembelea Uingereza (nchi nyengine iloitawala Tanganyika) na kupiga picha na Malkia na Waziri Mkuu wake.

Tanzania mpaka leo huwa inatoa matoleo mbali mbali ya stempu za kumuadhimisha Malkia wa Uingereza. Yote hayo ni sawa kwao. Lakini inapokuja Zanzibar basi ni kosa kubwa kuwa na mahusiano na Oman au Nchi za Kiarabu. La ajabu tena ni kwamba miaka miwili hii imeshuhudia Jakaya Kikwete, Mizengo Pinda, Anna Makinda, William Lukuvi na Bernard Membe wote wakipanga foleni kuzuru Oman lakini wakifanya viongozi wa Zanzibar linakuwa kosa.

Alhamdulillah, la kufurahisha ni kwamba Wazanzibari na khasa Vijana wa kizazi kipya wamekwisha kuzifahamu na kuzibaini mbinu hizi chafu na ovu. Wote wimbo wao sasa ni mmoja tu: "Tunataka nchi yetu, sasa tumechoka". Akina Samuel Sitta na wenziwe wasubiri kushuhudia MAAMUZI Oktoba Inshallah.

Msikilize Samuael Sitta akimuunga mkono Lukuvi na upate zaidi mjadala huu kutokea facebook:

https://www.facebook.com/ismail.jussa?fref=nf

mwaka huu maccm lazima waipate.
 
Hata wewe humwelewi Jusa. Analaumu viongozi wa serikali kwenda kutembelea ulaya na nchi za kiarabu. Jusa hatambui Tanzania kama ni nchi. Yeye anaita viongozi wa Tanganyika. Huu ni ushenzi na kukosa usitaarabu. Sipendi ccm lakini sikuabaliani na mitazamo ya kipumbavu isiyofuata utaratibu. Kama anataka kurudisha serikali ya Tanganyika afuate taratibu za kikatiba kwa kuwaambia wenzake waikatae katiba pendekezwa. Uhuni wa kutaka kukatiza juu kwa juua na kutufanyia fujo hatutaki!.

Jusa ni mpuuzi fulani anayemaanisha kutokuwatambua viongozi wa serikali ya Tanzania. Na kwamba wanapofanya ushirkiano na mataifa, ina maana serikali hii inawakilisha Tanganyika. Kwa Jusa anasema Zanzibar nayo iwe ni nchi na iwe na uhusiano wake wa kimataifa.

Jusa, huwezi kuanzisha suala kama hili bila kufuata utaratibu. Hata hiyo October, ccm inakwenda kuanguka lakini kama mtazamo wako ni huu wendawazimu wa kudictate mambo kwa mitazamo ya familia yako, sahau. Hakuna serikali wala raia wema watakuunga mkono. Fuata kanuni na taratibu. Hatutaki kuwa na nchi yenye watu wasiotaka kujenga hoja ila wanalazimisha matashi yao binafsi bila kujali maslahi ya taifa.

Jusa hapa nimekuona kumbe akili zako fupi

Kwa heri.

Hujamwelewa Jussa.
Anacholaumu yeye ni Double standard.
By the way.....unaongelea vipi kauli ya Kikwete kuwashukuru sana Wajerumani kwa kututawala?
 
Hata wewe humwelewi Jusa. Analaumu viongozi wa serikali kwenda kutembelea ulaya na nchi za kiarabu. Jusa hatambui Tanzania kama ni nchi. Yeye anaita viongozi wa Tanganyika. Huu ni ushenzi na kukosa usitaarabu. Sipendi ccm lakini sikuabaliani na mitazamo ya kipumbavu isiyofuata utaratibu. Kama anataka kurudisha serikali ya Tanganyika afuate taratibu za kikatiba kwa kuwaambia wenzake waikatae katiba pendekezwa. Uhuni wa kutaka kukatiza juu kwa juua na kutufanyia fujo hatutaki!.

Jusa ni mpuuzi fulani anayemaanisha kutokuwatambua viongozi wa serikali ya Tanzania. Na kwamba wanapofanya ushirkiano na mataifa, ina maana serikali hii inawakilisha Tanganyika. Kwa Jusa anasema Zanzibar nayo iwe ni nchi na iwe na uhusiano wake wa kimataifa.

Jusa, huwezi kuanzisha suala kama hili bila kufuata utaratibu. Hata hiyo October, ccm inakwenda kuanguka lakini kama mtazamo wako ni huu wendawazimu wa kudictate mambo kwa mitazamo ya familia yako, sahau. Hakuna serikali wala raia wema watakuunga mkono. Fuata kanuni na taratibu. Hatutaki kuwa na nchi yenye watu wasiotaka kujenga hoja ila wanalazimisha matashi yao binafsi bila kujali maslahi ya taifa.

Jusa hapa nimekuona kumbe akili zako fupi

Kwa heri.

Kama maneno ya Jussa ni ushenzi na kukosa ustaarabu basi wewe mwenyewe ni shenzi na mjinga maana akili zako chache zilizokosa maarifa zinakutuma usimuelewe jussa kwa maneno aliyosema kwa kiswahili fasaha.

Jussa analaumu viongozi wa juu wa Tanzania wanaotoka upand wa Tanganyika kuwa double standard "WANAFIKI" kwao viongozi wanaotoka Tanganyika ni fahari kubwa kufanya urafiki Wa kijamii na kiuchumi na mataifa ambayo yaliwahi kuitawala Tanganyika lakini wakati huo huo wanaona dhambi kubwa kwa upande wa pili wa muungano "ZANZIBAR" kufanya urafiki na waliokuwa wakiitawala Zanzibar wakati huo "OMANI" huku wao kila siku kiguu na njia kwenda OMANI na nchi za Kiarabu kuhimiza urafiki kwa maslahi ya tanganyika! Rudi katika hotuba ya lukuvi kanisani na ya hivi karibuni ya Sita alipokuwa anahojiwa na VOA, BANIANI MBAYA LAKINI KIATU CHAKE DAWA"

Kama Jussa ni MPUUZI Fulani basi wewe ndie umemzidi kila kitu Jussa kwa UPUUZI "wewe ndio kiongozi wake" maana hakuna sehemu ambayo Jussa akitamka kuwa hawatambui viongozi wa Tanzania, rudia tena kusoma post iliyowekwa ya maneno ya Jussa utathibitisha kila kitu, labda ulipoisoma Mara yakwanza ulikuwa umeutwika! Dunia itamalizika hautatokea mtazamo ambao kila MTU ataukubali, nikawaida kwa watu kutofautiana mitazamo.

Kama akili za Jussa ni fupi basi wewe haunazo kabisa maana huna uwezo wa kuelewa jambo ambalo hata mtoto mdogo akilisoma analielewa.
 
jamhuri ya zanzibar wewe ni juha zaidi ya kalulu. chadema walipokwenda ujerumani na kupiga picha na viongozi wa huko hukutia neno hapa lakini serikali inapomkaribisha nchi rafiki ambaye anaweza kutufadhili kurekebisha mji mkongwe wenu unaita unafiki. halafu unawasingizia vijana wa unguja ati wanataka nchi yao..Mzushi mkubwa wewe vijana hatuko pamoja na wewe hao ulio nao ni mamluki wa CUF tu . Sisi tutasimamia mapinduzi daima chini ya CCM
Hawa watu inabidi tuwacheke tu. Wako usingizini. Wanadhani bado propaganda na fitna za kijinga na kipumbavu kama hizi zitaisaidia CCM. La ajabu ni kwamba juzi tu wamemkaribisha kwa heshima zote Rais wa Ujerumani (nchi iliyokuwa ikiitawala Tanganyika) na katika fakhari kubwa za Marais wote walotawala Tanganyika kuanzia Julius Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa hadi Jakaya Kikwete basi ni kutembelea Uingereza (nchi nyengine iloitawala Tanganyika) na kupiga picha na Malkia na Waziri Mkuu wake.

Tanzania mpaka leo huwa inatoa matoleo mbali mbali ya stempu za kumuadhimisha Malkia wa Uingereza. Yote hayo ni sawa kwao. Lakini inapokuja Zanzibar basi ni kosa kubwa kuwa na mahusiano na Oman au Nchi za Kiarabu. La ajabu tena ni kwamba miaka miwili hii imeshuhudia Jakaya Kikwete, Mizengo Pinda, Anna Makinda, William Lukuvi na Bernard Membe wote wakipanga foleni kuzuru Oman lakini wakifanya viongozi wa Zanzibar linakuwa kosa.

Alhamdulillah, la kufurahisha ni kwamba Wazanzibari na khasa Vijana wa kizazi kipya wamekwisha kuzifahamu na kuzibaini mbinu hizi chafu na ovu. Wote wimbo wao sasa ni mmoja tu: "Tunataka nchi yetu, sasa tumechoka". Akina Samuel Sitta na wenziwe wasubiri kushuhudia MAAMUZI Oktoba Inshallah.

Msikilize Samuael Sitta akimuunga mkono Lukuvi na upate zaidi mjadala huu kutokea facebook:

https://www.facebook.com/ismail.jussa?fref=nf
 
Wewe ndiyo dude lisilokuwa na kichwa cha kufikiri. Unabwabwaja kama vil wendawazimu wako unavyokutuma. Eti viongozi wa Tanganyika? Huu siyo upumbavu? Siongei na mipumbavu kama wewe. P.mbaff kabisa usiyejitambua afadhali ya ng.uruwe!.

Kama maneno ya Jussa ni ushenzi na kukosa ustaarabu basi wewe mwenyewe ni shenzi na mjinga maana akili zako chache zilizokosa maarifa zinakutuma usimuelewe jussa kwa maneno aliyosema kwa kiswahili fasaha.

Jussa analaumu viongozi wa juu wa Tanzania wanaotoka upand wa Tanganyika kuwa double standard "WANAFIKI" kwao viongozi wanaotoka Tanganyika ni fahari kubwa kufanya urafiki Wa kijamii na kiuchumi na mataifa ambayo yaliwahi kuitawala Tanganyika lakini wakati huo huo wanaona dhambi kubwa kwa upande wa pili wa muungano "ZANZIBAR" kufanya urafiki na waliokuwa wakiitawala Zanzibar wakati huo "OMANI" huku wao kila siku kiguu na njia kwenda OMANI na nchi za Kiarabu kuhimiza urafiki kwa maslahi ya tanganyika! Rudi katika hotuba ya lukuvi kanisani na ya hivi karibuni ya Sita alipokuwa anahojiwa na VOA, BANIANI MBAYA LAKINI KIATU CHAKE DAWA"

Kama Jussa ni MPUUZI Fulani basi wewe ndie umemzidi kila kitu Jussa kwa UPUUZI "wewe ndio kiongozi wake" maana hakuna sehemu ambayo Jussa akitamka kuwa hawatambui viongozi wa Tanzania, rudia tena kusoma post iliyowekwa ya maneno ya Jussa utathibitisha kila kitu, labda ulipoisoma Mara yakwanza ulikuwa umeutwika! Dunia itamalizika hautatokea mtazamo ambao kila MTU ataukubali, nikawaida kwa watu kutofautiana mitazamo.

Kama akili za Jussa ni fupi basi wewe haunazo kabisa maana huna uwezo wa kuelewa jambo ambalo hata mtoto mdogo akilisoma analielewa.
 
jamhuri ya zanzibar wewe ni juha zaidi ya kalulu. chadema walipokwenda ujerumani na kupiga picha na viongozi wa huko hukutia neno hapa lakini serikali inapomkaribisha nchi rafiki ambaye anaweza kutufadhili kurekebisha mji mkongwe wenu unaita unafiki. halafu unawasingizia vijana wa unguja ati wanataka nchi yao..Mzushi mkubwa wewe vijana hatuko pamoja na wewe hao ulio nao ni mamluki wa CUF tu . Sisi tutasimamia mapinduzi daima chini ya CCM

Hahaaaaa! Sasa hao vijana mamluki wa CUF wanaishi na kwao wapi!!!??? Zanzibar au Kenya!?

Ndugu unafurahia kufadhiliwa na kutengenezewa mji Mkongwe!!! Badala ya kulilia kurekebisha mji Mkongwe na zanzibar kwa ujumla wewe mwenyewe kama nchi!?

Au ndio akili zile zile za wazanzibari sasa tunakula "vyakula vyote vizuri vinavyoliwa Dar es salaam! Sasa Zanzibar tukala MCHELE WA MBEYA ambao unaliwa Dar es salaam"!?

Kwa akili hii ya Zanzibar sasa tunakula "VYAKULA VYOTE VIZURI" vinavyoliwa Dar es salaam kweli wazanzibar hadi mamlaka kamili Kazi ya ziada inahitajika.
 
Huyu Jussa kama anadhani ni kosa kwa Watanzania kuongea au kushirikiana na nchi ambazo zilikuwa ni koloni la Tanganyika basi hata yeye angekataa kwenda kusoma Uingereza kwenye elimu ya wakoloni.

Kwa hiyo kwa vile Tanzania inashirikiana na nchi zilizokuwa koloni la Tanganyika basi na Zanzibar nayo anataka ishirikiane na nchi zilizokuwa koloni lake. This is absurd to say the least!

By the way, hizi hoja zake zimeishajibiwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ambayo wananchi wako mbioni kwenda kuipigia kura.

Hujamulelewa Jussa, soma tena halafu utaelewa!
 
Ama kweli Samweli Sitta kadri ya umri wake unavyoongezeka anazidi kuwa na makamasi kichwani.

Sasa sijui leo hii ukimsikilizisha maneno hayo kama atakuwa na nnguvu ya kukiri maneno hayo.

Hawa majamaa wamechoka kufikiri na kutafakari, watanzania wenzangu tuungane tupate kuwapumzisha hawa majamaaa maana wanatuaibisha sana katika ulimwengu wa hivi sasa.
 
Wewe ndiyo dude lisilokuwa na kichwa cha kufikiri. Unabwabwaja kama vil wendawazimu wako unavyokutuma. Eti viongozi wa Tanganyika? Huu siyo upumbavu? Siongei na mipumbavu kama wewe. P.mbaff kabisa usiyejitambua afadhali ya ng.uruwe!.

Mimi sina wasiwasi kuwa mimba yako imetokana na SHAHAWA ZILIZOCHANGANYIKA NA POMBE CHAFU! Maana hata huelewi kuwa wako viongozi ambao wanaiwakilisha Tanganyika pekee na Zanzibar pekee.

Hebu nieleze Mizengo Pinda ni siku gani ambayo kaiwakilisha Zanzibar!? Au anawakilisha serikali IPI kati ya mbili tulizonazo!? Sasa anapokwenda OMANI, CHINA, UK, USA n.k kuomba misaada anaiombe serikali gani kati ya mbili tulizonazo!?

Mawaziri kutoka wizara ya ardhi, elimu, afya, kilimo, maliasili na utalii na wengineo walioko Tanganyika ni lini wamefanya kazi upande wa pili muungano!?

Jaribu kujifunza ili upate maarifa JUHA wewe
 
Ukiondoka kwenye sanduku jeusi la uchama, utaelewe vizuri kinachoongelewa hapa na utaweza kuwa mchangiaji huru kuliko unavyoharibu.

Kinachoongelewa hapa ni cha kikatiba na wala si suala la chama. Ukisema ccm, unatia kichefuchefu kwa sababu ccm iliyoopo siyo ile ya Mwalimu. Mwalimu alipokufa, likaja dude kuingia kwenye kiwiliwili cha ccm ili kwa macho muone nikitu kile kile kumbe sicho.

Hapa angalia suala la Muungano na ubwabwajaji wa hawa kina jusa na wenzake. Wanawaita viongozi wa kitaifa, eti watawala wa Tanganyika. Tanganyika ni nchi ipi katika katiba? Lni Tanganyika ilifanya uchaguzi ikachagua watawala? Hawa wazenji, wanataka zanbibar iwe na uhusiano wake wa kimataifa. Na bahati mbaya wenzetu wale hawana akili za kufikiri kwamba, mfumo ikibidi kufumuliwa na kuundwa upya, ziko taratibu za kufuata. Na kwamba kama wanataka mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa lisiwe suala la Muungano ili nao waanzishe mahusiano yao, wanapaswa kurudi kwenye katiba. Ajabu wanalazimisha identity ambayo haipo ndiyo maana nawaita wehu!

Watawala wa Tanganyika wakati kila siku wanapiga kura na bungeni kwetu wanakuja kwa fedha zetu bila kusema hayo mambo hayawahusu!.

Tunawalea kwa kodi zetu lakini hata shukrani hawana, badala yake vimejaa matusi midomoni bila kutumia akili.

Wanalazimisha kusema Tanzania haipo bila kuelewa masuala ya kikatiba hayabadilishwi kijinga kijinga namna hiyo.

Halafu ilivyo mijuha, inamtazamo kwamba viongozi wa srikali ya Tanzania wanapofanya ziara za kiserikali na kuanzisha mahusiano ya kitaifa na viongozi wenzao, kwa hii mijamaa, wanafanya mahusiano binafsi na si ya kiserikali hivyo na viongozi vya zanzibar viruhusiwe kufanya uhusiano wa kimataifa vile vile. Huu ni upumbavu.

Kama wanataka viongozi wa Tanzania watoke Zanzibar, ili wakapige picha na maraisi wa nchi zingine kwa bendera ya nchi, wagombee kwenye chaguzi za uraisi ili tuwachague. Watatuwakilishaje ikiwa hawana serikali?

Nina mashaka sanana dhamira iliyojificha ya hawa kina jusa na watu kama yeye. Ni kitu gani ambacho zanzibar inataka cha siri kutoka Oman ambacho ili kifanyike lazima raisi wa Tanzannia atoke Zanzibar? Hiyo misaada unayotegemea kutoka irani, inautamu gani kuzidi misaada inayotolewa na nchi zinazokubalika kwa uma?

Hawa watu wana agenda ya siri na si wa kuendekeza hata kidogo, maana hawana uelewa wala ukweli hawautaki!. Lakini na wewe usilete masuala ya uchama kwa sabbu ccm fisadi, isiyojali ndiyo imepelekea sintofahamu zote hizi ziendeleee kuliua taifa letu!.

jamhuri ya zanzibar wewe ni juha zaidi ya kalulu. chadema walipokwenda ujerumani na kupiga picha na viongozi wa huko hukutia neno hapa lakini serikali inapomkaribisha nchi rafiki ambaye anaweza kutufadhili kurekebisha mji mkongwe wenu unaita unafiki. halafu unawasingizia vijana wa unguja ati wanataka nchi yao..Mzushi mkubwa wewe vijana hatuko pamoja na wewe hao ulio nao ni mamluki wa CUF tu . Sisi tutasimamia mapinduzi daima chini ya CCM
 
Ama kweli Samweli Sitta kadri ya umri wake unavyoongezeka anazidi kuwa na makamasi kichwani.

Sasa sijui leo hii ukimsikilizisha maneno hayo kama atakuwa na nnguvu ya kukiri maneno hayo.

Hawa majamaa wamechoka kufikiri na kutafakari, watanzania wenzangu tuungane tupate kuwapumzisha hawa majamaaa maana wanatuaibisha sana katika ulimwengu wa hivi sasa.

Mkuu, matusi huashiria kiwango mtu alicho nacho katika uwezo wa kujieleza hadi aeleweke. Epuka matusi kwani sio dili.
 
Huyu Jussa kama anadhani ni kosa kwa Watanzania kuongea au kushirikiana na nchi ambazo zilikuwa ni koloni la Tanganyika basi hata yeye angekataa kwenda kusoma Uingereza kwenye elimu ya wakoloni.

Kwa hiyo kwa vile Tanzania inashirikiana na nchi zilizokuwa koloni la Tanganyika basi na Zanzibar nayo anataka ishirikiane na nchi zilizokuwa koloni lake. This is absurd to say the least!

By the way, hizi hoja zake zimeishajibiwa kwenye Katiba Inayopendekezwa ambayo wananchi wako mbioni kwenda kuipigia kura.

Umemuelewa lakini wewe au unakuruluka tu ? Necta bana..
Yeye hana usingo na wewe kulewa mkate na malkia au yeye kwenda kusoma.
Anachosema tanganyika inapalilia na kuuenzi uhusiano wao na wakoloni wa tanganyika Ujerumani na uingereza . Lakini upande wa zanzibar ni nongwa wakijaribu kufanya hivo
 
Mimi sina wasiwasi kuwa mimba yako imetokana na SHAHAWA ZILIZOCHANGANYIKA NA POMBE CHAFU! Maana hata huelewi kuwa wako viongozi ambao wanaiwakilisha Tanganyika pekee na Zanzibar pekee.

Hebu nieleze Mizengo Pinda ni siku gani ambayo kaiwakilisha Zanzibar!? Au anawakilisha serikali IPI kati ya mbili tulizonazo!? Sasa anapokwenda OMANI, CHINA, UK, USA n.k kuomba misaada anaiombe serikali gani kati ya mbili tulizonazo!?

Mawaziri kutoka wizara ya ardhi, elimu, afya, kilimo, maliasili na utalii na wengineo walioko Tanganyika ni lini wamefanya kazi upande wa pili muungano!?

Jaribu kujifunza ili upate maarifa JUHA wewe

Hao viongozi wanaiwakilisha tanganyika pekee kivipi? Naomba ufafanuzi.

Hakuna kiongozi wa wizara yoyote aliwakilisha tanganyika. Zaidi Utanzania
 
[h=2]Friday, March 6, 2015[/h] Angalia Video za maswali na majibu za mkutano wa Mhe. Jussa, Sehemu ya kwanza hadi ya Tisa

Muwakilishi wa Jimbo la Stone, Town, Zanzibar Mhe. Ismail Jussa kupitia chama cha wanainchi CUF ambae pia mjumbe wa UKAWA aliweza kuongea na waTanzania waishio. (DMV) na kumuuliza maswali mbali mbali kuhusu mustakabali wa nchi yetu, Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015.

BONYEZA VIDIO
https://www.youtube.com/watch?v=waKrMMwGXhE#t=588
https://www.youtube.com/watch?v=6aEezuMlQ9k#t=250
https://www.youtube.com/watch?v=Tj6GITif6hs
 
Akiongea na dmv jussa amesema nyoka mwenye makengeza ameandika uvundo na sio rasm ya katiba,amewambia dmv kuwa nyoka mwenye makengeza ameondoa haki zote za msingi za wananchi kuamua mambo yao
 
Back
Top Bottom