Jussa aongoza Mawaziri na wabunge Igunga.

propagandist

Member
Aug 12, 2011
93
9
Naibu katibu mkuu wa zanzibar Ismail jussa Ladhu ameongoza timu ya mawaziri na wabunge wa CUF kuelekea Igunga kwa ajili kuongeza nguvu za kampeni za chama hicho, akiongea kaimu katibu mkuu Julius mtatiro amesema tokea uzinduzi wa kampeni uliozinduliwa na Prof Lipumba tarehe 13.09.2011 chama hicho kimekuwa kikifanya mikutano 36 tukiwa na timu 6 za kampeni, kuanzia leo tutakuwa tukifanya mikutano 45 kwa siku, kwa kweli tumeisha shinda tunasubiri kulinda kura kwa sababu mgombea wetu anakubalika amezaliwa hapa, amesoma hapa, na amefanya kazi hapa alisema mtatiro kuwaambia waandishi wa habari mjini Igunga. Gazeti la mwanainchi. 21.09.2011.
 
Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,937

Ismail jusa ladhu namuona kama ndo mtu pekee mwenye uwezo na mvuto kwa watu lakini hao wengine sijaona ni kwa namna gani wataisaidia cuf kushawishi wapiga kura.

Anyway tunawasubiri kwenye uwanja wa mapambano.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom