Jurrassic World Dominion

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,558
Reaction score
20,418
Jana nilicheki hii movie. Ina actions nzuri, lakini mambo mengi ni kama yaleyale na story haina jipya. Ila kuna sehemu nilisikia kama wanaongea Kiswahili. Pale wameingia kwenye soko la magendo la dinosours. Wakakuta watu wanauza mishkaki ya dinosours. Kuna muuzaji mmoja kama alisema. "HEBU, HEBU BWANA."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…