Huyo mzungu huyo,hilo zalio la waafrica colony waliozaliwa huko.
Hata ndege hawatakiwi kupanda kwanza.
Mi ningeshamkata kofi mtoto na mamaake sa nyingi kummmmmae
Masingle maza uelewa sifuri kabisa. Ndiyo hao black americans wanakuja na tabia kama hizo huku na kuanza kusema waafrika tunawachukia! Nimekereka sana.
Huyo mzungu huyo,hilo zalio la waafrica colony waliozaliwa huko.
Hata ndege hawatakiwi kupanda kwanza.
Mi ningeshamkata kofi mtoto na mamaake sa nyingi kummmmmae
Kusoma vitabu mzee
How to win friends and influence people
Nadhani kinahusika hapo
Dogo kachukuliwa kirahisi tu na kesi imeisha
Wenzetu wanasoma sana vitabu na unaona impact yake kwenye maisha halisi