Juneteenth is a celebration of the slaves' freedom and independence.

Juneteenth is a celebration of the slaves' freedom and independence.

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,313
Tunayo haja ya kuikumbuka hii siku ambayo kwa marekani ni sikukuu ya kitaifa, ni siku ambayo ilitangazwa rasmi mwisho wa biashara ya utumwa marekani ambayo ni June 19, 1865. Ndio Gen Gordon Granger alitangaza rasmi kuisha kwa utumwa America. Ikumbukwe hii biashara ilishamiri sana maeneo ya Africa Mashariki na Congo. Alama za utumwa kule Bagamoyo na Zanzibar bado vipo hivyo ipo kila sababu ya kuikumbuka hii siku. Tunahitaji kutafakari je Slave trade imeisha au imebadili tu rangi na mwelekeo.
 
Back
Top Bottom