Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,230
Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi.
============
Ndugu,
Watanzania Wote,
Mabibi na Mabwana,
UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na tuliosomeshwa kwa kodi za watanzania tunaowajibu wa kufanya tafakari ya kina kuhusu kinachoendelea nchini na kutoa mapendekezo stahiki. Katika kutekeleza wajibu wetu huu, tutazungumzia mambo makuu mawili:
Kutokuheshimu Haki za Watanzania
I. Kutokuheshimu Haki za Watanzania
Ibara ya 8(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza kuwa, Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii. Kwamba:
a) Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na serikali inapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi;
b) Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi; na,
c) Serikali itawajibika kwa wananchi.
Kusoma zaidi angalia hapo chini

- Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025