GE2025 Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

GE2025 Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi.
============
Ndugu,
Watanzania Wote,
Mabibi na Mabwana,

UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na tuliosomeshwa kwa kodi za watanzania tunaowajibu wa kufanya tafakari ya kina kuhusu kinachoendelea nchini na kutoa mapendekezo stahiki. Katika kutekeleza wajibu wetu huu, tutazungumzia mambo makuu mawili:

Kutokuheshimu Haki za Watanzania
  • Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025

I. Kutokuheshimu Haki za Watanzania

Ibara ya 8(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza kuwa, Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii. Kwamba:

a) Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na serikali inapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi;

b) Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi; na,

c) Serikali itawajibika kwa wananchi.

Kusoma zaidi angalia hapo chini
 
Attachments

Samia The Killer sijui atateka na kuua wangapi. Idadi ya wahanga watarajiwa inaongezeka by the day!
 
23 October 2025
BBC Swahili

Wasomi Chuo Kikuu Tanzania wataka utekaji kuchunguzwa​

1761245488806.jpeg

Chanzo cha picha,UDASA

Jumuiya ya wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) nchini Tanzania imetoa tamko la kusikitishwa kwakwe na matukio ya watu kupotea au kudaiwa kutekwa, kikisema hali hiyo inatishia uhuru wa kujieleza na misingi ya haki za binadamu nchini.

Katika taarifa yake, UDASA imesema matukio hayo yamezua hofu miongoni mwa wananchi na kuathiri taswira ya taifa katika jamii ya kimataifa.

Jumuiya hiyo imeitaka serikali na vyombo vya usalama kuchunguza kwa uwazi na kwa haraka visa vyote vya aina hiyo ili kutoa majibu ya kweli kwa umma.

Tamko hilo limerejea ripoti ya shirika la haki za binadamu (LHRC) kuhusu tishio la kile kinachoidwa "Watu wasiojulijkana" wakilitupia lawama Jehsi la Polisi kwa ama kushindwa kudhibiti au kutolea ufafanuzi.

Hata hiyo mara kadhaa Jeshi la Polisi limeeleza kuendelea kufuatilia wanaodaiwa kutekwa, na lilishawahi kukanusha kutohusika na wapo wengine waliodaiwa kutekwa kubainika kujiteka

Kuhusu idadi ya waliotekwa ama kupoktea, tamko la UDASA limerejea tena ripoti ya LHRC waliobainisha kati yam waka 2021 mpaka 2024 watu 87 wametekwa na kupotezwa.

Mbunge wa zamani wa CCM na Askofu Josephat Gwajima aliwahi pia kudai kwamba watu zaidi ya 83 waliripotiwa kutekwa au kupotea katika kipindi hicho.

UDASA pia imewataka viongozi wa serikali, vyama vya siasa na wadau wengine kulinda haki ya kujieleza bila woga wa vitisho au madhara, ikisisitiza kuwa uhuru huo ni nguzo muhimu katika maendeleo ya demokrasia.

Katika tamko hilo, Jumuiya hiyo imeeleza umuhimu wa kujenga mazingira salama kwa wahadhiri, wanafunzi na wanaharakati kushiriki mijadala ya kitaaluma na kijamii bila kuonewa au kudhibitiwa.
UDASA imesema bila uhuru huo, misingi ya utawala bora inaweza kudhoofika.

Aidha, chama hicho kimehimiza serikali kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha vyombo vya dola vinawajibika ipasavyo na kwamba kila raia anatendewa haki bila upendeleo.

Hata hivyo, Serikali ya Tanzania mara kadhaa imekanusha kuhusika kwa namna yoyote na vitendo vya utekaji au kupotea kwa watu.

Vilevile, Jeshi la Polisi limesema kumekuwa na matukio ambapo baadhi ya watu waliodai kutekwa baadaye walithibitishwa kujiteka wenyewe na kuongeza kuwa linaendelea kufuatilia kila taarifa inayotolewa
Source : BBC Swahili
 
Safi sana

Najivunia kuwa mwana UDASA

Kwa haya yaliyosemwa humu kuhusu kuvunjwa kwa Katiba sijui walinzi wa Katiba JWTZ wanasubiri nini kuchujua hii nchi?
I think jeshi linasubiri wananchi ili ipate legitimacy ya kimataifa…ila kwa tulipofikia wangemwaga mboga tu, maana wananchi tungewapa support hata kma tungepitia maumivu ya vikwazo ila tungekuwa pamoja kma Bukina farso…hali ni tete ndugu zangu…nchi imeshikiliwa na majambazi hawana huruma.
 
Jumuiya ya Kimataifa imeshawakataa CCM na Samia wao. Si UN, si EU si Senate ya Marekani, si Human Rights Watch si Amnesty
 
Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi.
============
Ndugu,
Watanzania Wote,
Mabibi na Mabwana,

UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na tuliosomeshwa kwa kodi za watanzania tunaowajibu wa kufanya tafakari ya kina kuhusu kinachoendelea nchini na kutoa mapendekezo stahiki. Katika kutekeleza wajibu wetu huu, tutazungumzia mambo makuu mawili:

Kutokuheshimu Haki za Watanzania
  • Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025

I. Kutokuheshimu Haki za Watanzania

Ibara ya 8(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza kuwa, Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii. Kwamba:

a) Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na serikali inapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi;

b) Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi; na,

c) Serikali itawajibika kwa wananchi.

Kusoma zaidi angalia hapo chini
Wamechelewa sama
 
Nimelisoma tamko kwa umakini na naungana nao kwa tamko hilo, ila limechelewa sana na pili linauoga ndani yake:

1. Kwa mapendekezo ambayo yanauhalalisha ubatili wa uchaguzi kwa kuukubali ufanyike, si sawa. Uchaguzi si kutumbukiza kura kwenye box ni mchakato tangu kupatikana kwa tume na uandikishwaji. Tayari yote ni batili!

2. Kuitisha mariddhiano baada ya kuukubali uonevu, uuaji na uwizi ni kuhaalalisha uovu ili kuurekebisha baadae!

3. Treni imeshaondoka kituoni hakuna namna ya kuisimamisha tena. Mapendekzo yao ni kuchelewesha ukombozi.

4. Mifano ya ukombozi wa Madagascaar na Nepali imepotoshwa kama machafuko. Hiyo ni kufedhehesha harakati za ukombozi wa wananchi. 29/10/ 2025 na siku zinazoendelea ni siku za utungu wa kuzaliwa kwa taifa jipya!

No to academic mediocrity in the disguise of "TAMKO", we are out there for the real revolution and renaissance of our country!
 
Back
Top Bottom