Jumuiya ya Uhamsho na mihadhara Zanzibar Imefutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumuiya ya Uhamsho na mihadhara Zanzibar Imefutwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbaga Michael, Oct 26, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,879
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Kwa habari nilizozipata hivi sasa kutoka mtu wa karibu na jumuiya hiyo nikwamba imefutiwa usajili

  Amesema namunukuu ' Sijui serikali ya SMz wanampango gani na zanzibar na muungano wetu? Nikamuuliza kwanini unasema hivyo? Akazidi kusema jumuiya yetu imefutiwa usajili.

  Kama kuna mwenye taarifa kamili tafadhari atuwekee hapa
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  SAFI SANA SMZ ingawa mmechelewa sana! Hao viongozi wasipewe dhamana kabisa.
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 8,686
  Likes Received: 3,563
  Trophy Points: 280
  Hao wapewe kesi ya mauaji ya askari polisi....kwisha!
   
 4. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,879
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  loh! Watu wanamauchungu
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 11,763
  Likes Received: 3,467
  Trophy Points: 280
  Hawa sio viongozi ni mashetani tu!
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,305
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Wamechelewa sana, hizi jumuiya zenye dalili ya ugaidi hazipaswi kupewa nafasi ya kuzivumilia!
   
 7. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,651
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Very Good SMZ.
   
 8. Z

  Zuwely salufu Senior Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tupeni taarifa sahihi mkuu kwani habari inaonekana haija kaa sawa
   
 9. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Hongera sana Dr.Shein, Dr. wa ukweli kwa kuwachukulia hatua hao wachonganishi, Bado ya Ponda nayo ifutiwe usajili. Watu sasa wameacha kujadili mambo muhimu kwa ajili ya nchi,wanajadili upuuzi wenu.

  kukicha watu tuna hofu kama watoto wetu na makanisa yetu yatapona kwa 7bu yenu akina Ponda na Farid, hawa wanastahili kuozea jela tu!!!!!!!!!!
   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  dr Shein .....
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,751
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli ni pouwa sana!
   
 12. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,922
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  tupeni taarifa zaidi kuhusu jambo hili.
   
 13. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,055
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kama wamechelwa, na yule sheh Farid wazanzibar na wailamu, anawaharibia sana, uchumi na maisha ya visiwani yanategemea sana utaliii, mifujo yenu hiyo itawalaza njaaa mpaka.......
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  watu mnampa pongezi dr shein, alikua wapi mpaka askari wake akachinjwa? watanzania mnakua reactive badala ya proactive ndio madhara hayo tunayoyaona
   
 15. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  siku zote ukiwaza kiupana adui wa amani ni watawala wenyewe na si wananchi!! tumewaweka viongozi kwenye utawala ili WATUFANYIE KAZI na si kivingine!! kama watu hawakutaki au hawataki jambo fulani uwezi ukawalazimisha kwakuwa wewe ni kiongozi na unatumia cheo chako kuongoza watu. basi kama kiongozi anawaongoza hao watanzania basi watu wasifanye kazi na waongozwe kupata mahitaji yao na hapo for sure watu watakubaliana na watawala na atleast kufuata maagizo yao.kutumia siasa kupitiliza kuna madhara yake ili kulazimisha mambo fulani!!! UKILAZIMISHA WATU MWISHOWE WANAKUGEUKA NA KUANZA KUKUDHARAU!!!
   
 16. p

  pat john JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jumuia gani ya kidini inaitwa " mbwa mwitu, toto tundu n.k" Hiki ni kikundi cha wahuni, na SMZ pamoja na Waislamu wema wamekionea aibu muda mrefu, na sasa hayo ndio madhara yake. Akina ponda nao inabidi wapondwe pondwe.
   
 17. p

  promi demana JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Safi sana! Kazi imebakia kwa Ponda naye arudishwe kwao Burundi.
   
 18. G

  G.jr Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ponda akesha rudishwa Brnd,huyo mwingine arudi kwao pemba watuachie unguja xetu yenye amani. Smz mnahabari ile R _d_o ya mtoni ni uamsho?na xenxewe bora i.ng.e
   
 19. j

  jail JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  too late
   
 20. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa SMZ kuchukua hatua ya kuifutia Usajili Jumuiya ya UAMSHO ni sawa na kutwanga maji katika Kinu; wanapoteza nguvu zao bila mafanikio! Hata wakiwafuta UAMSHO lakini hawawezi kuyaondosha mawazo na dhamira yaliyomo ndani ya nyonyo za Wana-UAMSHO na Wazanzibari wote kwa Ujumla kuhusu suali la kuidai Zanzibar Huru.
   
Loading...