Jumuiya ya Uamsho ya Kiislamu wakusanya saini ya kutaka kura ya maoni juu ya Muungano

Kwa Tanganyika Umewasahau Waarabu na Makabila yao, Wahindi na MAkabila yao Wazungu na Wasomali waliishi Tanganyika mapema bila kuwasahau kina Sykes ni Wazulu kabisa kiasili ,,,

Wazanzibar pia nao wana makabila tena wale walio wengi asili yao ni bara haswa wasukuma na wanyamwezi ukiachilia wale waliooana na waarabu wakageuka wamanga kuna wahindi bila kuwasahau Wakojani
 
Hongera wazanzibari maana mkijitenga hata sisi tunaoitaka Tanganyika yetu mtakuwa mmetusaidia sana!Kila la kheri na harakati zenu mungu awaongoze!!
 

"together we can! how i wish that!"
 

great, great, zanzibaris are first beneficiaries and first complainers!! muungano huu uvunjije hata CCM iatjikombua kuondoka katika kunyanyaswa na zanzibar, imewajaza katika CC, NEC,Na mkutano mkuu wa CCM taifa.

wazanzibar wana sauti katika VIKAO VYA CCM, ndio maana wanataka wainjiyo huo uhuru wa katiba ya ccm katika katiba ya taifa.

NINARUDIA HUU MUUNGANO UKIVUNJIKA TANGANYIKA ITAENDELEA SANA, HAWA WAO WAZANZIBAR WATAKUA NA UHURU WAO waende zao bwana! tena wapemba wote wata tanga, dar na ardhi walinunua bara watatakiwa kurudisha zote!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nowaombea mshinde ila hiyo asilimia 5 ya christian mtailinda ua ndo mtaanza mambo yenu ya ...........navyodhani sharia itaanzishwa.hongereni
 
Watanganyika tumeamua kupoteza uhuru wetu ili kuwahifadhi wa Zanzibari. Kama hamuwezi kutushukuru, basi angalau msitutukane. nchi yenu haiwezi ikadumu kama nchi huru kwa muda mrefu


Huijui Historia wewe na bora ukakaa kimya. Zanzibar ilikuwepo kabla hata ya Tanganyika. Tanganyika imezaliwa ikaikuta Zanzibar. Wewe unajua kuwa kulikuwa na diplomatic missions nyingi tu za Ulaya na Marekani kule Zanzibar kati ya 1840s na 1900s. Ni haki ya Wazanzibari kuujadili Muungano na kuuvunja wakipenda. Wewe kama Mtanganyika huu Muungano umekunufaisha nn?
 
hivi tunawabembelezea nini? kama watu hawawezi kutambua wanavyofaidika si tuwaache waone joto la jiwe? hebu fikiria leo hii tumevyunja muungano wapemba na waliopo kila mahali watatosha kwao? binafsi siwaelewi lakini wakijitoa nitashukuru kwani tunapoteza fedha nyingi sana kwa kuwabeba na hilo kila mtu anajua waacheni waende tena haraka alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! tumechoka
 
Hakuna haki za binadaamu kwenye nchi za kiislam. Hizo nchi ulizotaja ni nchi zenye migogoro iliyo na maslahi ya kiuchumi. Wewe kama unajifanya Muislam nenda ukaonje joto ya jiwe pakistan
Sahihisho: Nchi ya Kiislamu ni ile inayotawaliwa kwa sharia ya kiislamu moja kwa moja, ukiziangalia nchi zote Duniani kwa sasa utakuta hakuna nchi ya Kiislamu.Nchi kama Saudi Arabia inatawaliwa na sheria nyingi za Kiislamu lakini sio 100% hivyo haiwezi kuitwa nchi ya Kiislamu.
Ila kuna nchi za Waislamu (labda ndio unazomaanisha): Hizi ni aina ya nchi ambazo watu wake wengi ni Waislamu ingawa hazitawaliwi kwa Sheria za Kiislamu.
Sahihisha kauli yako Mkuu!
 
nawaombea wafanikiwe na hii movement yao

Mkuu watafanikiwa wapi? kwa serikali hii ya Magamba watapiga sana kelele mpaka makoo yataota vidonda
mimi nawashauri hao UAMUSHO wasajiri chama chao cha siasa basi
maana wana infuluence kubwa ya watu na watu wengine wanawaunga mkono katika movement zao
 
Napata tabu kidogo na hili jambo
Hivi wanaoitisha kura za maoni ni Waislamu Wazanzibar au ni wananchi Wazanzibar?
 
Muungano wetu ulikuwepo baadaya majadiliano baina ya watu,hata kama walikuwa wawili tayari ni watu,watu hao waliona umuhimu wa kuungana wakaridhia na tukawashukuru kwa hilo, lakini hivi sasa imekuwa ni dhambi kubwa sana kuujadili muugano na watu kama wale waliouanzisha,kwa muda mrefu kwa makusudi kabisa hakuna linalo fanyika ilikupata ufumbuzi wa kero za muungano,hivyo basi wazanzibari baadaya kuona hakuna jipya wanendelea kimya kimya kuachana muungano,na tanganyika wanafahaamu kinachoendelea,muungano isiwe bomu ambalo dakika zinayoyoma kulipuka,watu wana haki ya kujadili nakupata suluhisho,....bwana mmoja alisema tujifunze kukubali maamuzi magumu
 
aisee makabila mengi hapo sijawahi kuyasikia ni kweli yapo au umetunga? kabila kama wasafwa au wavidunda mh hawa watu kama wapo wako wapi? sijawahi kukutana na mtu akaniambia yeye ni mvidunda:biggrin1:

Mkuu, wasafwa ndo wenxeji wa Mbeya mjini mmoja wao ni aliyekuwa Mbunge kabla ya Sugu. I mean Mpesya benson japo miaka ya leo wengi wao wamekimbilia maeneo ya Uyole, Mbalizi na kule milimani kulima machungwa.
 
Mie mpaka leo sielewi nini muungano, kwa nini tuliungana, ni muungano wa kisiasa au kiuchumi! tumefaidikaje na huu muungano! babu/bibi zetu au wazazi wetu walishirikishwa katika kuunda muungano huu!
 

Pumba za kuku mhhhhh!!!
 
Mimi nashangaa sana hiyo serikali ya Kikwete inayowakumbatia hawa watu...waacheni waende wanakokutaka. Ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania bara wala sisi hatuna maslai sana na Muungano huo na ni wenyewe wanzanzibari wanaotuibia huku. Kwanza kabisa kuna wengi chungu nzima huku bara wana mashamba na viwanja ila kama wewe ni mtu wa bara wala shamba hupati zanzibar na hillo lilijidhihirisha kwa yale maduka yaliyochomwa moto...in fact Tanzania bara wanayotuita kuwa sisi ni watanganyika wala hatuna cha kukosa kama wakienda. Waacheni waende na tubaki kuwa nchi mbili za jirani. Najua watauwana mda tu wakiondoka na hapo ndo tutafunga mipaka wapige mbizi huko baharini. Dini ya KIISLAM hata siku moja haijawai kuwa dini ya amani. kote leo kila kona yenye vita ni waislamu, boko haramu, somali, sudani, mali, Afghanistan, Pakistan na kwingineko. Sioni tabu tukawaachia na hawa wakaanza kuuwana. Wananiudhi sana kuwasikia. Wao kutusema sisi wabara wako mbele wao wakiguswa tu wakali kama mbogo. wabara watu wastaraabu sana, hatuna maneno na tumekuwa tukikaa kimya sana kwa yanayosemwa na wazanzibari na mpaka mengine ni matusi. Ila ingekuwa ni wao ndo wanasemwa nadhani khali ingekuwa nyingine hapa. Let them go, and they will remember and perhaps regret.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…