Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,661
- 68,638
Kumbe kikubwa kubwa30×30
Kumbe kikubwa kubwa30×30
Karibu Burka hata ujenge kibanda value yake ni kubwa sana...mchakato wa kupiga lami upo mlangoni ...hii estate ni Westland ya ArushaJan ktk mitando mbali mbali yamepost picha ya jumba la mh mayor wa zamani wa ubungo ndugu Boniface Jacob...
BeiKaribu Burka hata ujenge kibanda value yake ni kubwa sana...mchakato wa kupiga lami upo mlangoni ...hii estate ni Westland ya Arusha
Una mawazo ya kiwiziwizi tu na wivu.Umri wake tunakimbilia jengo la 12 yeye anatangaza Hilo Moja na umeya wote kiufupi ni mzembe
Kuanzia uvaaji mpaka uongeaji ameakaa kama kijana mdogoKwa nini
Mawalla Real estate hao ndo wana connection......kushoto mwa jengo la Makao makuu ya Tanapa kuna barabara ndogo ya lami .from the main road .....shuka huko ulizia ofisi yao
Nakaziabila picha ya hilo jengo ni upuuzi tu.
30 Kwa 30Hivi kiwanja cha square 900 Ndio upana na urefu inakuwa ngapi?
Jengombona hamuweki picha za huo mjengo?
Asante mkuu tulivu Sana kuleKaribu Burka hata ujenge kibanda value yake ni kubwa sana...mchakato wa kupiga lami upo mlangoni ...hii estate ni Westland ya Arusha
pmbavu kbsaKuna biashara ya mayai na kuna biashara ya kupasuliwa mayai. Siku hizi mjini daslam naona vijana wengi wanaipambania hiyo ya pili!!!