Boniface Jacob mgombea ajaye jimbo la Ubungo CHADEMA

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,319
2,000
Hili halina mjadala. Bwana Mdogo Boniface amewapigania Wana Ubungo wote hata zaidi ya mpaka yake ya udiwani.

Ni wazi pia Kubenea ataondoka Chadema. Kwa tunaofuatilia series of events za Chadema tangu zivuje Voice notes za Kumdhuru Boniface Jacob kwa lengo la kumdhoifisha Mbowe asigombee Uenyekiti Chadema (Walioshiriki kwenye zile Sauti wanajulikana) na (walio Kuja kugombea na Mbowe wanajulikana) na (kilichotokea baada ya Mbowe Kushinda kinajulikana).

Kubenea haaminiki tena ndani ya Chadema. Inaelezwa kuwa 'amevumiliwa' sana na sasa Chadema wapo radhi aende zake kama alivyofanya swahiba wake, Anthony Komu. Kikubwa katika siasa, hakuna uadui wa kudumu kwaiyo wanaweza baadae wakaunda timu moja kwa Milango utakaokuwa wazi nyakati hizo ila kwa sasa aliyeandaliwa na anayeandaliwa kuwa Mbunge wa Ubungo ni Mdogo wangu Boniface Jacob.

Boniface Jacob ameshawaaga wakazi na wapiga kura wake kuwa hatagombea tena Udiwani na hivyo hata kuwa Meya tena wa Ubungo baada ya kuweka historian ya kuwa Meya wa Kwanza wa Manispaa ya Ubungo ikiwa chini ya Chadema.

Mimi Binafsi namuunga Mkono Boniface na kumtakia kila lenye heri. Kazi alivyofanya kwa wanaubungo haijifichi ni kubwa na kila mtu timamu anayeishi Ubungo ambaye hajafaa joho la uwendawazimu anaelewa.

Inasadikiwa kuwa Kiongozi mmoja wa ngazi ya JUU katika mkoa fulani analitolea macho na udenda Jimbo hilo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha MBOGA MBOGA ilhali Mwana JF Mkongwe pia anatamani pia kugombea Jimbo hilo kwa tiketi ya Mboga Mboga pia.

Muda utaamua.

Alamsiki,
Mzito Kabwela
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,319
2,000

1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
7,495

Hivi ile kesi yake ya tuhuma za kumpiga mwandishi wa habari iliishia wapi??
 
Sangatitti

Senior Member
Apr 5, 2020
180
500
Chama chai na chapati ccm au chukua demu mapema chadema kipi chama sahii chakutuletea maendeleo ya kweli.

Hila Bashite awezi kuwa Mbunge / labda wampe special cities ...pill Jacob Jamaa namkubari anajitambua sana.
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
470
1,000
Chama chai na chapati ccm au chukua demu mapema chadema kipi chama sahii chakutuletea maendeleo ya kweli.

Hila Bashite awezi kuwa Mbunge / labda wampe special cities ...pill Jacob Jamaa namkubari anajitambua sana.
Ati CHADEMA kirefu chake, Chukua Demu Mapema:D:D..

Everyday is Saturday...................:cool:
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
2,887
2,000
Waambie wakanyage kote ila Ukonga wasisogee! Sitaki kuchukua jimbo kupitia kwa tikiti ya CCM kwa mchuano mkali.. Nataka nipite bila kupingwa.
Chonde chonde upinzani, nawaomba msisimamishe mgombea jimbo la Ukonga ili nipite bila kupingwa.
Nina silaha nzito nzito za kijeshi ambazo ningependa zibaki ghalani... Ctaki kutumia zana hizi dhidi ya mtu yoyote kuchukua jimbo, So plz stay out of Ukonga constituency.
 
MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,274

ukonga ni yetu mbunge wetu ni Asia Daudi Msangi chaguo namba 1
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
71,565
2,000
Hili halina mjadala. Bwana Mdogo Boniface amewapigania Wana Ubungo wote hata zaidi ya mpaka yake ya udiwani.

Ni wazi pia Kubenea ataondoka Chadema. Kwa tunaofuatilia series of events za Chadema tangu zivuje Voice notes za Kumdhuru Boniface Jacob kwa lengo la kumdhoifisha Mbowe asigombee Uenyekiti Chadema (Walioshiriki kwenye zile Sauti wanajulikana) na (walio Kuja kugombea na Mbowe wanajulikana) na (kilichotokea baada ya Mbowe Kushinda kinajulikana).

Kubenea haaminiki tena ndani ya Chadema. Inaelezwa kuwa 'amevumiliwa' sana na sasa Chadema wapo radhi aende zake kama alivyofanya swahiba wake, Anthony Komu. Kikubwa katika siasa, hakuna uadui wa kudumu kwaiyo wanaweza baadae wakaunda timu moja kwa Milango utakaokuwa wazi nyakati hizo ila kwa sasa aliyeandaliwa na anayeandaliwa kuwa Mbunge wa Ubungo ni Mdogo wangu Boniface Jacob.

Boniface Jacob ameshawaaga wakazi na wapiga kura wake kuwa hatagombea tena Udiwani na hivyo hata kuwa Meya tena wa Ubungo baada ya kuweka historian ya kuwa Meya wa Kwanza wa Manispaa ya Ubungo ikiwa chini ya Chadema.

Mimi Binafsi namuunga Mkono Boniface na kumtakia kila lenye heri. Kazi alivyofanya kwa wanaubungo haijifichi ni kubwa na kila mtu timamu anayeishi Ubungo ambaye hajafaa joho la uwendawazimu anaelewa.

Inasadikiwa kuwa Kiongozi mmoja wa ngazi ya JUU katika mkoa fulani analitolea macho na udenda Jimbo hilo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha MBOGA MBOGA ilhali Mwana JF Mkongwe pia anatamani pia kugombea Jimbo hilo kwa tiketi ya Mboga Mboga pia.

Muda utaamua.

Alamsiki,
Mzito Kabwela
Mimi sisemi chochote , maana nilipotangaza kugombea jimbo la Kyela uzi wangu ukazimwa kama mshumaa jangwani .
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
4,310
2,000
Wakazi wa Ubungo ndio watakao chagua mbunge wao,hiki siyo sampuli ya viti maalumu.
Ubungo wanataka mbunge wa kutatua ISSUES zinasohusu Ubungo kwanza na si vinginevyo.
Ni muda mrefu ubunge wa Ubungo umegeuka jamvi la wakuja.
Ubungo inategemea sana wazawa na wakazi wao wawili mmoja ni yule kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya mikoa ya kaskazini,aliewahi kuwa publicity secretary wa Yanga Mhe.Jerry Muro,na mwingine ni meya na mtoto wa kijiweni Mayor Boniface
Hawa watu wawili wakichuana itakuwa sawa na vita kuu ya tatu.
 
Top Bottom