ngoja nimwambie mkuu.atapandisha mda si mrefu.lol
Kutumika sana weekend so nimechoka...
kwa kuwa mimi ni mtu mzima mwenzio nishaelewa unamainisha nini......oa
teh teh teh.subiri nimalize kucheka....
Ehee we ni mfanyakazi wa ndani au unatumikaje embu dadavua kidogo
Ehee we ni mfanyakazi wa ndani au unatumikaje embu dadavua kidogo
....na nati za vitanda huwa zinalegea sana wk/end.
Full kufulia ila hii pics imeniudhi kwa sababu kashusha sana hiyo fulana ilitakiwa ipanda juu kidogo
Ukiona itakusaidia nini?