Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,439
- 166,908
mmh!!! mapenzi nnje ya ndoa ni chanzo cha umaskin,souce BUJIBUJI!!!
Nawatakieni wiki njema, wiki ya mahela, wiki ya mapato, mishahara, marupurupu na matumizi bab kubwa.
Onyo;- mapenzi nje ya ndoa ni chanzo cha umasikini.
Hapo kwenye redi, masharti kuzingatiwa
BWANA YESU ASIFIWE BUJIBUJI,Nawatakieni wiki njema, wiki ya mahela, wiki ya mapato, mishahara, marupurupu na matumizi bab kubwa.
Onyo;- mapenzi nje ya ndoa ni chanzo cha umasikini.
BWANA YESU ASIFIWE BUJIBUJI,
Nafurahi kusoma post yako!
ok! Kumbe na ww ni mtumishi eeh!!na mm naja!amen mpendwa, ubarikiwe na bwana yesu
Halleluya Mtumishi,amen mpendwa, ubarikiwe na Bwana Yesu
Mamito,njoo tu wala usijali,ok! Kumbe na ww ni mtumishi eeh!!na mm naja!
Nawatakieni wiki njema, wiki ya mahela, wiki ya mapato, mishahara, marupurupu na matumizi bab kubwa.
Onyo;- mapenzi nje ya ndoa ni chanzo cha umasikini.
kweli ni mtumishi hasa, kuna movie moja huyo mwenzake wa kwenye avatar yake alijifanya mtumishi akawa anawasarandia wake za watu kwa kuwaweka wiki nzima chumbani kwake kwa lazima eti anawafanyia maombi.Mamito,njoo tu wala usijali,
Bujibuji ni mtumishi hasa!
haaa haaa haa!kweli ni mtumishi hasa, kuna movie moja huyo mwenzake wa kwenye avatar yake alijifanya mtumishi akawa anawasarandia wake za watu kwa kuwaweka wiki nzima chumbani kwake kwa lazima eti anawafanyia maombi.
Halleluya Mtumishi,
Ila kiukweli vituko vyako na avatara yako vinaendana sana,
Huwa napenda unayoandikaga lol!
Naelekea felo shipu.
muwe wawili tu chumbani, umtoe mapepo yote mwilini.karibu nyumbani mwa BWANA tuabudu katika Roho na kweli
Nawatakieni wiki njema, wiki ya mahela, wiki ya mapato, mishahara, marupurupu na matumizi bab kubwa.
Onyo;- mapenzi nje ya ndoa ni chanzo cha umasikini.
Asante mtumishi ila,karibu nyumbani mwa BWANA tuabudu katika Roho na kweli
Asante mtumishi ila,
Na wewe huwa unatumiaga style ya kuombea km huyo aliopo kwenye avatara yako?