Jumapili njema!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,031
wapendwa Bwana Yesu asifiwe
Mungu ni mwema tunashukuruu kwa kutufikisha mahali hapa zikiwa zimebakia siku kadhaa kumaliza mwaka 2011
Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uweza wake na si mbaya kunyanyuka kwenda kumshukuru Mungu kwa uweza wake aliokufikisha hapo ulipo....

Najua wapo wasiotaka kwenda kanisan kabisa lakini nasema huu ni ukweli ndugu zetu wa mamamdgo ni wazuri wakioka,,na wana imani kuliko sie embu fikiria wewe unakwenda kanisani only jumapili na imebana sana jumatatu na jumatano lakini wale wanasali mara tano kwa siku na awaachi embu fikiria mtu huyo ampokee YESU kama bwana na mwokozi wa maisha yake unafikiri patashikika???

Mungu akupe nguvu za kuomba na kushukuru kama watoto wa mama mdogo na usiache kumshukuru kwa kila jambo kila siku..
Mwisho nakutakia jumapili njema wote Mungu wa baraka Mungu wa isaka na yakobo awalinde na kuwahifadhi

WALE NDUGU ZETU NI MATOFALI IMARA NA YA ZEGE YA BAADAE KWA AJILI YA KUMTUKUZA YESU NA KUUFANYA UZIMA WA MILELE
KWA KUJENGA UFALME WA MWANA KONDOO

AMINA
 
Back
Top Bottom