Jumapili njema wana JF

Cha kushangaza ww mwenyewe unapost huu uzi uko bar, make nimetoka nyumbani kwako mkeo kaniambia hajakuona tangu alhamis ulivyoenda nyumbani kuvua sare za kazini.
 
First Born mimi nimesha lewa tayari, nimechelewa kuuona uzi wako
ningeuona mapema nisingelewa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom