Jumanne Muliro kumrithi IGP Sirro?

Suleiman Mungiya amekuwa CGP akiwa na rank Gani??
alikuwa brig.

na nikukumbushe tu hata anayetoa madaraka hurejea hadhi ya cheo husika kwa muongozo wa jeshi lenyewe.
jeshi la magereza halivushi watumishi askari17k.
jeshi la polisi lina watumishi askari zaidi ya 45k.
 
alikuwa kanal.

Hapana alikuwa Brigedia unajua hivi vyeo vya teuzi atakavyoamka mkuu ukakidhi vigezo utashangazwa tuuuu
 
Tobias andengenye binafsi nahis wataendana na mama sio mtu was kuongea ongea sana
 
Mtu sahihi wa kuwa IGP baada ya Simon N. Sirro ni SACP Camillius Wambura.
 
Siro katokea mbali sana toka akiwa RCO shinyanga miaka 2017 hadi 2018 RPC wake akiwa abdala msika badae akateliwa kuwa RPC tanga na mwanza nafasi hiyo aliopo anastahili
 
Haya ni majitu ya hovyo kabisa
 
Siro katokea mbali sana toka akiwa RCO shinyanga miaka 2017 hadi 2018 RPC wake akiwa abdala msika badae akateliwa kuwa RPC tanga na mwanza nafasi hiyo aliopo anastahili
Hana unafuu wowote ni mtu wa hovyo sn, Lissu kapigwa risasi kweupe na watu kupoteswa, sioni unafuu wake
 
#BREAKING Rais Samia amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe huku nafasi yake ikichukuliwa na Camilius Wambura aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI). #MillardAyoBREAKING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…