jumanne ijayo makamu wa rais wa nchi inayofunza na kuzalisha makomandoo wengi duniani cuba anawasili mnaopanga kuandamana shauri yenu

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
na kwakuwa anayekuja ni makamu wa rais wa nchi bingwa kwa kuzalisha makomandoo hivyo huenda hata watakaompokea hapa nchini tanzania wakawa ni makomandoo wa kitanzania ambao nao siku hiyo hiyo ambao kuna maandamano yamepangwa hawatakubali kuona uchafu uchafu au takataka zozote zile mabarabarani

andamaneni tu Vyumbani mwenu
 
Back
Top Bottom