Mijawapo wa viungo walinivutia sana kwa upande wa Yanga S C kwenye Kagame Castle Cup iliyoisha wiki iliyopita mbali ya Nurdin Bakari ni huyu dogo Kijiko,japo alicheza mechi chache lakini ameonyesha uwezo mkubwa sana,anakuja kuwa nguli na fundi sana akipewa nafasi.
Mijawapo wa viungo walinivutia sana kwenye Kagame Castle Cup iliyoisha wiki iliyopita mbali ya Nurdin Bakari ni huyu dogo Kijiko,japo alicheza mechi chache lakini ameonyesha uwezo mkubwa sana,anakuja kuwa nguli na fundi sana akipewa nafasi.
Namkubali sana huyu dogo,lakini kama inavyoripotiwa kuwa alimuumiza kwa makusudi Kazimoto siku ile ya fainali (japo ilisaidia),litakuwa si jambo la kiuanamichezo.