sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Kwanza nianze kwa salamu Mh Rais Shikamoo!
Binafsi jumapili ya leo nawaomba wakiristu wenzangu, na hata waislamu muungane nami Sifi leo jumapili ya Leo kumwombea Rais wetu wa Tanzania hakika ANAFANYA MAZITO LAKINI PIA ANAFANYWA MAZITO.
kwa kila raia wa Tanzania atakubaliana na mimi Rais wa awamu ya sita ameufungua uchumi alio shiriki kuufunga kwenye serikali ya awamu ya 5 ilo liko wazi.
Sambamba na ilo nimefatilia matendo ya Rais kutokea mwezi uliopita mpaka tarehe ya leo Mama wa watu hapumziki yupo angani tu analitangaza taifa lilirokuwa limefungwa na KIZA CHA ELININO.
kila uchwao mama yupo angani mara Rwanda mara wapi kote huko analitangaza taifa ambalo paspo kujua yakuwa mshahara wa dhambi ni mahuti.
Mh Raisi jumapili ya leo naitumia kukuombea Mungu akupe Maisha marefu,uyatende unayoyatamania mazuri kwa watanzania wote paspo ubaguzi.
Mh Rais nakuombea maisha marefu ili upate muda wa kutubu yale uliyoshiriki kuyafanya enzi za utawala wa mzirakende na ili ndilo kusudio la Mungu kukupa NAFASI KUBWA ZAIDI YA ILE ULIYOKUWA NAYO SASA.
Mh Rais nakuombea kwa Mungu akupe moyo wa dhati kabisa wa kigaidi dhidi ya MAJIZI YA MALI FEDHA ZA UMMA, yanayo tajwa kwenye ripoti ya CAG uyafanye kitu kizito kama ambavyo YANAKUFANYA KITU KIZITO PASPO HURUMA ,MAMA WA WAWATU UNAANGAIKA KULE NA HUKU UNA MWACHA MMEO UNAWAACHA WANAO WAJUKUUU ZAKO KUTWA KUCHA KUOMBA NA KUTAFTA FURSA ukirudi ndani ya taifa kuna MIJIZI INAPANGA KUKUIBIA NA MINGINE NI MITEULE YAKO JAMANI?
MH Rais Jumapili ya leo mimi Sifi leo ninTangaza kufunga na KUSALI KUPITIA NOVENA dhidi ya majizi naomba ukisikia mtu anaumwa hapo karibu yako,au hata ukijisikia vibaya basi tambua mtumishi wa Mungu sifoleo yupo kwenye Maombi na Muumba anapokea maombi yangu.
Unafanya mazito lakini na wewe majizi yanakufanya mazito.