Anatafuta kiki.
Afu inakuaje uyo jamaa anasikilizia tu utamu?
Hakika si tabia njema michezoni na mahali pengine popote kwani ni kitendo kidhalilishacho uanaume wa mtu...
Lakini kuna jambo moja huwa lanitatiza, hao wanaume wanaodhalilishwa mbona huwa wapo kimya tu hata hatujawahi kuona wakianzisha hata zogo?
Hivi kweli mwanaume rijali uguswe kalio halafu upotezee tu hivi hivi....mmmh!!!
Kinachonishangaza ni jinsi Bocco alivyotulia, ningekuwa mm pangechimbika.