Nkami Juma ni mbunge kupitia CCM yeye anadhani ni kusoma taarifa redioni,huyu nae ni kilaza kumbe,sikujua kabisa nae ameshakuwa gamba mara hii,kumbe ukichukua kadi ya CCM leo tayari unavaa gamba la ufisadi na ubinafsi,kazi kweli kweli
Hiyo ni Daylight robbery! Hatari sana kwa Taifa lenye watu wengi masikini kama letu, iko siku watu waliokata tamaa ya maisha wataingia barabarani na kila kitu kitabadilika!
hiyo ni daylight robbery! Hatari sana kwa taifa lenye watu wengi masikini kama letu, iko siku watu waliokata tamaa ya maisha wataingia barabarani na kila kitu kitabadilika!