Kama umekili kuwa ulikua kwy kitengo cha propaganda wakati unafanya kazi BBC ya kuhalalisha kuwa Iraq ilikua Ina silaha za sumu ambazo ni propaganda za wamerikani, ikiwa unajua si kweli ni uongo na umekilia umefanya hivyo kwa ajili ya kulinda chakula cha watoto wako, je huoni hata sasa unachochotetea ni kwa ajili ya kulinda chakula cha watoto wako, na si kwa ajili ya mustkabali wa Taifa?