Juma Nkamia acha uongo!

hawawezi kuonyesha live

ripoti ya cag
epa
richmond
opereshen tokomeza
na uchaguzi znz


ni aibu kwa nji hii


wanafanya figisu figisu tuu...
Shimbony dada flora..."nji hii - nchi hii"....mjadala wote wa richmond ambao uliondoka na ajira ya mzee wa monduli ulionyeshwa live. mawaziri wamekuwa wakijiuzulu huku tukiona live. Tatizo ni hasara ambayo inaendana na mimi na wewe kuonyeshwa kitu live, yaani hata wale wageni wa mheshimiwa naibu waziri akiwemo yule mfanyakazi wa ndani aliyeajiriwa juzi eti watazamwe kwa hasara ya TBC. Ukiwa na kituo chako cha TV unaruhusiwa kuonyesha chochote ukitakacho kuhusiana na mijadala ndani ya bunge.
 
Mimi ninaona vitu viwili..
Siasa za bungeni 2005-2015 zimeiumiza sana CCM. Pili, ni hulka binafsi ya Udikteta aliyonayo kaka Magu. Tunaelekea kubaya sana
 
Waache ujingaa wao. Watu siku hizi wanajua kuliko wanavyifikiria
 

Kwa hiyo ile zawadi ya noel Ndiyo unaipongeza???Akili yako fupi kama maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…