Nadhani ni wakati wa Juma Kaseja Kuyasoma hayo maandishi ukutani, nilimuangalia sana udakaji wake wa jana nikaona hakika jua linazama kwani si Kaseja yule wa Simba, na ashukuru mipira kadhaa iliyomgonga mikononi
sina haika sana lakn naambiwa baada ya mechi ya jana mashabiki kadhaa walimrushia chupa, wakati huo nikiwa nimeshatoka, na habari zaidi zinajuza kwamba hasira zimezidi kwani washabiki wa Yanga wanamtuhumu kuhusika na kuumia kwa Dida katika mazingira ya utata kwamba huenda "Kamati ya Ufundi" ya Juma imehusika

wakati wa karamu,na tazama,oh,kiganja kisicho na mkono kilionekana kikiandika ukutani,Mene mene Tekeli na pelesi! Ha ha ha! Daniel ngapi vile mkuu...?
Mlaumuni kiiza aliyekosa penati
anaumia casilasi,seuze dida!!
Zingeongezwa dakika 5 tu kandambili mngelia zaidi.
Azam kileleni hadi ubingwa!!
wakati wa karamu,na tazama,oh,kiganja kisicho na mkono kilionekana kikiandika ukutani,Mene mene Tekeli na pelesi! Ha ha ha! Daniel ngapi vile mkuu...?
Gentleman laugh after understanding
yanga kwa sangoma ndo maana haendi mbali.
wakati wa karamu,na tazama,oh,kiganja kisicho na mkono kilionekana kikiandika ukutani,Mene mene Tekeli na pelesi! Ha ha ha! Daniel ngapi vile mkuu...?
Kuna wapuuzi fulani wamelimwa faini na tff baada ya kuhamia kwa sangoma soka lilipowashinda