hicho chuo mkuu wa chuo ninani? Leo kinesi atakuwa kaleta waganga wake wa bagamoyo yule mzee noma, sisi tumecheza wa kitabu yan okwi, ngasa, nyonzima wote mbele!!!! Kaseja ndio anafungisha kizembe hiv kweli.
Barthez Mbona hujamtaja?Sio kwamba siamini, nataka niwahesabu tu kuweka msisitizo; Kaseja, Yondani, Chuji, Ngasa, Okwi na Dida ingawa alikuwa benchi, kwa hiyo ni wachezaji sita.
Nilitaja wale tu ambao walihusika na mechi ya jana kwa maana ya waliocheza na wale waliokuwa benchi.Barthez Mbona hujamtaja?
Barthez hakuwemo kwenye orodha ya kikosi cha leoBarthez Mbona hujamtaja?
ya jana ilikuwa simba 3 - 1 simba veteran
Sio kwamba siamini, nataka niwahesabu tu kuweka msisitizo; Kaseja, Yondani, Chuji, Ngasa, Okwi na Dida ingawa alikuwa benchi, kwa hiyo ni wachezaji sita.
unajua hata Mbuyu nae simba...
unajua hata Mbuyu nae simba...
kiongozi mbuyu hajawai kabisa kwenda simba