adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,938 Reaction score 5,362 Feb 24, 2013 #1 Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Juma Kaseja amepata udhamini mnono binafsi toka kampuni ya Nike. Taarifa nilizozipata amekula zaidi ya pauni 50000 kwa mwaka huu. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Juma Kaseja amepata udhamini mnono binafsi toka kampuni ya Nike. Taarifa nilizozipata amekula zaidi ya pauni 50000 kwa mwaka huu. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Freema Agyeman JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 3,666 Reaction score 3,533 Feb 24, 2013 #2 Hongera sana Juma